Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
mwaJ aaahhh mi utamu wa movie bana niangalie episode zote sio niangalie moja then iishie nisubiri ya piliMr Rocky hivi wewe bado unaisubiri? Mbona movie ilishaanza muda mrefu tu na sasa nadhani iko episode ya 3? Shauri yako utakuja kushtuka wakati inaisha.
mwaJ aaahhh mi utamu wa movie bana niangalie episode zote sio niangalie moja then iishie nisubiri ya pili
Ndo maana nasubiri episode zote ziiishe nianze kuiangalia
Kwanini kinara wa picha (sterling) atoke Kenya kwani sisi hatuna wasanii wazuri nchini kwetu. Yaani kweli kila fani hatuna wataalamu jameni, hata kwenda Pande tunahitaji wageni......
Soundtrack?
Kwanini kinara wa picha (sterling) atoke Kenya kwani sisi hatuna wasanii wazuri nchini kwetu. Yaani kweli kila fani hatuna wataalamu jameni, hata kwenda Pande tunahitaji wageni......
Nitalitafuta hili movie nimuone aliyeandika SCRIPT tu!