Code za kugundua mdada anayejiharibia mwenyewe halafu anaamini wahuni wanampotezea muda

Code za kugundua mdada anayejiharibia mwenyewe halafu anaamini wahuni wanampotezea muda

Unapata FAIDA GANI?
Unaelimisha nini Jamii?
Nilimaanisha hao watoto wamejaa kule tiktok hawataki kufanya kazi nyingine zaidi ya kupiga kelele usiku wa manage,kelele zenyewe zinaambatana na maneno kama TAPTAP kwenye skiing,inamaana wanaamini watapata wateja wa miili yao.Sina maana nyingine.Yawezekana matumizi ya TU-TU ndo yamekuchanganya.
 
Nimekuelewa
Ila yanakera sk hiz
Yani video zimepangana
Limtu linaonyesha sura yake

Wazungu wanajua itawaharib sana Waafrika
 
Nimekuelewa
Ila yanakera sk hiz
Yani video zimepangana
Limtu linaonyesha sura yake

Wazungu wanajua itawaharib sana Waafrika
Ni jambo lz kusikitisha sana.Watoto wakivunja ungo,wanaona hata kusoma ni kupoteza muda,ni kudanga nakununua simu halafu wazazi wao wakilala usiku wao wanaanza ujinga tiktok,kuonyesha maumbile yao huku wamepaka lips shines.
 
Ni jambo lz kusikitisha sana.
Sana
Watoto wakivunja ungo,wanaona hata kusoma ni kupoteza muda,ni kudanga nakununua simu halafu wazazi wao wakilala usiku wao wanaanza ujinga tiktok,kuonyesha maumbile yao huku wamepaka lips shines.
Dah alf unakuta hata vile vitoto vidogo
Vinaiga wasanii wa Bongo kina Zuchu
Wakiwa wakubwa ndio hatar

Vizaz vijavyo itakuwa zaidi ya hapa
B1297BFD-1DFF-4692-93D2-814A6FB3B7D0.jpeg
 
Tupo kule tiktok, tunaahinda usiku kucha na makeleleya laptop kwenye spring hukutunachezesha makalio.We ni kutupiga tu hutu tutoto,ikitokea kutuoa,we tuoe ti,lakini tudada twingi ni hatari,hatujui hata kupika.
HA!HA!HA
 
Back
Top Bottom