Code za kugundua mdada anayejiharibia mwenyewe halafu anaamini wahuni wanampotezea muda

26 Life

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
829
Reaction score
1,229
Anakataa kila mwanaume wa kawaida kwa maneno ya “Siwezi date mtu asiye na gari.”
- Wewe mwenyewe una miguu ya bure, lakini unataka gari ya mtu mwingine?

Utasikia anasema “Mimi siwezi teseka na mwanaume. Nimejitambua.”
-Toka huko, ulijitambua kwenye TikTok au?

Wanaulizaga “What can you do for me?” ndio opening line yao.
- Madam, sisi sio wafadhili wa mapenzi, Kama unahitaji msaada wa uwekezaji, peleka proposal Halmashauri..

Wengine utasikia "Lengo niolewe na rich guy ili nimsaidie kutimiza ndoto zake.”
- Acha michezo, Tajiri anatafuta mke wa character, si motivational speaker au mviziaji wa assets.

Vingibe hua vinasema “If you love me, can you buy me the moon?”
- Hapa nicheke tu. 😂

Maisha yake ni soft life by force yaani shopping ni kwa Zemanda, rent ni ya Mwachiluwi , na vocha ni kwa Ex wake.
- Halafu kameandika kwenye bio "independent woman". Tulia, We ni corporate leech tu.

Hata mwanaume akimuambia “nitakuoa baada ya miaka miwili nikiwa stable,” kanajibu “Mimi siweki mtu pending kama loan.”
-Sawa, lakini miaka ikikukimbiza utatamani hata draft ya hiyo loan.

Insta caption zake ni “I’m too rare to settle.”
- Kweli ni rare, maana mtu wa tabia yako hukubaliwi hata kwenye ndoto nyevu.

Anaona mwanaume mwenye kazi ya kawaida si level yake, lakini kila weekend anazimia kwa Casttle lite za buku tatu tatu.
-Hiyo level yako ya juu inashushwa na bia 4 za buku tatu tatu?

Akitemwa na mwanaume kwasababu ya ujinga wake anasema “Sitaki mapenzi tena, wanaume ni useless(mbwa).”
-Wewe ndio uliwachagua kama unavyochagua mihogo sokoni sasa kwanini unalaumu soko lote?

Kila mwanaume akiingia kanapima uwezo wa pesa kwa wiki mbili, then kanamtema, Halafu baada ya miezi 6 kanauliza “Wanaume wazuri walipotelea wapi?”
- Kama hujui, walienda kule ulipowatema kwa sababu wallet zao zilikuwa flat.

Anaamini mwanaume akimpenda basi ni lazima atoe kila kitu kama pesa, muda, hata roho.
- Nikuulize wewe utatoa nini?
Kama mapenzi ni biashara, tuletee risiti basi.

Kama kawaida Bio yake “I’m the prize.”
- Prize ya nini? Mashindano ya kuigiza maisha ya watu?

Akiona mwanaume hataki kupost picha yake, anasema “Unaogopa nini? Au una wengine?”
- Tulia wewe, Hata Yesu hakupost watu wake kila siku, lakini aliwapenda kwa dhati.
Just Chill.

Ukimwambia apike au afue utaona ukimuangalia usoni anatamani kama aseme “Sijazaliwa kuwa mfanyakazi wa mwanaume.”
- Sawa, hata huyo mwanaume hajazaliwa kuwa ATM ya mtoto wa TikTok.

NB: Wengi wao si kwamba hawawezi kuolewa, ni tabia zao tu zinawafukuza wahuni wenye mpango nao.
Ndoa si tu kuhusu mapenzi, ni kuhusu character, akili, na kuheshimiana.

Next time ntakuja na uzi wa vijana wa hovyo ambao itakuwa ngumu sana kupata pisi iliyonyooka...
Yaani wale wa “bro siwezi sumbuliwa na mapenzi, ila anaweza kutumwa na hiyo manzi saa6 usiku akatafute chipsi na anaambiwa akikosa asirudi”.
Stay tuned.

Mimi ni Botanist, Gardener, na Horticulturist all the way from Jozi.
26 Life ☘️.
 
Mimi ata kumnunulia simu pana kaugumu mkubwa sana
 
Kuhusu kutokuolewa na maskin wako sahihi

Umaskin ni mbaya sana kaka

Mateso ya umaskin ni makali mno

Kikubwa tuwaombee tu nao wafanye kazi

Maana wanawake wa Tanzania wako kama mashoga wa Tanzania hawafanyagi kazi wao wanategemea mapenzi ndo yawaingizie pesa
 
Kwanini wasicooperate kutengeneza something big?
Kwanini lazima mmoja apande mwingine avune?
 
Ngoja nikuitie aise
Numbisa
Hakos kusema hivyo
15F8F5C2-BE43-4870-8F1F-34C39DD4437F.jpeg
 
Ugumu WA maisha umefanya dada zetu na mabinti zetu kuyageuza mahusiano kua Kama ajira rasmi

Mdada anataka kujua Kwanza atafaidika Nini (hasa kiuchumi) Kwa kudate na mwanaume.

Yaani wanataka kuijua posho (salary) yao mapema
 
Noma sana mkuu.
 
Anakataa kila mwanaume wa kawaida kwa maneno ya “Siwezi date mtu asiye na gari.”
- Wewe mwenyewe una miguu ya bure, lakini unataka gari ya mtu mwingine?
Wanajikuta Expensive
What can you do for me?”
Inaonyesha ana
Lengo niolewe na rich guy ili nimsaidie kutimiza ndoto zake

majivuno

Utasikia anasema “Mimi siwezi teseka na mwanaume. Nimejitambua.”
-Toka huko, ulijitambua kwenye TikTok au?
emotional damage 🥲
Lengo niolewe na rich guy ili nimsaidie kutimiza ndoto zake
Namwambia Keep Dreaming
9B2B97F5-6211-46BA-993A-D2EADAA59CD1.jpeg

Acha michezo, Tajiri anatafuta mke wa character, si motivational speaker au mviziaji wa assets.
🤣😎
Vingibe hua vinasema “If you love me, can you buy me the moon?”
namjibu
32816100-FDBE-4511-A66F-BA50A18683AD.jpeg
 
Maisha yake ni soft life by force yaani shopping ni kwa @Zemanda, rent ni ya @Mwachiluwi , na vocha ni kwa Ex wake.
- Halafu kameandika kwenye bio "independent woman". Tulia, We ni corporate leech tu.
Umewapatia😅
 
Anakataa kila mwanaume wa kawaida kwa maneno ya “Siwezi date mtu asiye na gari.”
- Wewe mwenyewe una miguu ya bure, lakini unataka gari ya mtu mwingine?

Utasikia anasema “Mimi siwezi teseka na mwanaume. Nimejitambua.”
-Toka huko, ulijitambua kwenye TikTok au?

Wanaulizaga “What can you do for me?” ndio opening line yao.
- Madam, sisi sio wafadhili wa mapenzi, Kama unahitaji msaada wa uwekezaji, peleka proposal Halmashauri..

Wengine utasikia "Lengo niolewe na rich guy ili nimsaidie kutimiza ndoto zake.”
- Acha michezo, Tajiri anatafuta mke wa character, si motivational speaker au mviziaji wa assets.

Vingibe hua vinasema “If you love me, can you buy me the moon?”
- Hapa nicheke tu. 😂

Maisha yake ni soft life by force yaani shopping ni kwa Zemanda, rent ni ya Mwachiluwi , na vocha ni kwa Ex wake.
- Halafu kameandika kwenye bio "independent woman". Tulia, We ni corporate leech tu.

Hata mwanaume akimuambia “nitakuoa baada ya miaka miwili nikiwa stable,” kanajibu “Mimi siweki mtu pending kama loan.”
-Sawa, lakini miaka ikikukimbiza utatamani hata draft ya hiyo loan.

Insta caption zake ni “I’m too rare to settle.”
- Kweli ni rare, maana mtu wa tabia yako hukubaliwi hata kwenye ndoto nyevu.

Anaona mwanaume mwenye kazi ya kawaida si level yake, lakini kila weekend anazimia kwa Casttle lite za buku tatu tatu.
-Hiyo level yako ya juu inashushwa na bia 4 za buku tatu tatu?

Akitemwa na mwanaume kwasababu ya ujinga wake anasema “Sitaki mapenzi tena, wanaume ni useless(mbwa).”
-Wewe ndio uliwachagua kama unavyochagua mihogo sokoni sasa kwanini unalaumu soko lote?

Kila mwanaume akiingia kanapima uwezo wa pesa kwa wiki mbili, then kanamtema, Halafu baada ya miezi 6 kanauliza “Wanaume wazuri walipotelea wapi?”
- Kama hujui, walienda kule ulipowatema kwa sababu wallet zao zilikuwa flat.

Anaamini mwanaume akimpenda basi ni lazima atoe kila kitu kama pesa, muda, hata roho.
- Nikuulize wewe utatoa nini?
Kama mapenzi ni biashara, tuletee risiti basi.

Kama kawaida Bio yake “I’m the prize.”
- Prize ya nini? Mashindano ya kuigiza maisha ya watu?

Akiona mwanaume hataki kupost picha yake, anasema “Unaogopa nini? Au una wengine?”
- Tulia wewe, Hata Yesu hakupost watu wake kila siku, lakini aliwapenda kwa dhati.
Just Chill.

Ukimwambia apike au afue utaona ukimuangalia usoni anatamani kama aseme “Sijazaliwa kuwa mfanyakazi wa mwanaume.”
- Sawa, hata huyo mwanaume hajazaliwa kuwa ATM ya mtoto wa TikTok.

NB: Wengi wao si kwamba hawawezi kuolewa, ni tabia zao tu zinawafukuza wahuni wenye mpango nao.
Ndoa si tu kuhusu mapenzi, ni kuhusu character, akili, na kuheshimiana.

Next time ntakuja na uzi wa vijana wa hovyo ambao itakuwa ngumu sana kupata pisi iliyonyooka...
Yaani wale wa “bro siwezi sumbuliwa na mapenzi, ila anaweza kutumwa na hiyo manzi saa6 usiku akatafute chipsi na anaambiwa akikosa asirudi”.
Stay tuned.

Mimi ni Botanist, Gardener, na Horticulturist all the way from Jozi.
26 Life ☘️.
Aseee
 
Back
Top Bottom