CNN Poll: Trump anaongoza

CNN Poll: Trump anaongoza

Wekeni akiba ya maneno uchaguzi bado naona mnataka kumuapisha mapema hyo Trump safari bado ni ndefu
 
Mimi mwanamke lakini cheo kikubwa kama urais hapana ka kweli...!
Wanawake 95%hatuna uwezo wa kuhimili mikikimiki ya uongozi mkubwa kama huo
We huoni yule wa Brazil washamtema!
Na yule wa Liberia Kwa sababu tu ni Africa ingekua nchi zilizoendelea washamtema!

Tena taifa lenyewe kubwa America bora Trumph

Ngoja akusikie Ananilea Nkya
 
Wekeni akiba ya maneno uchaguzi bado naona mnataka kumuapisha mapema hyo Trump safari bado ni ndefu
Uchaguzi bado sana kura halisi ndo zita amua.
Ila tungekuwa tunachagua wabongo Trump angeshinda asubuhi asubuhi, na mimi ningemchagua
 
Wanaona mbali wameshaona Trump gonna win the election ndio mana Mexican President Enrique Pena Nieto alimpa compliment invitation na wamediscuss kuhusu swala la border wall uliona wapi rais wa nchi jirani anakutana na presidential candidate and addressing negotiations about the two countries as if Obama is dead.
Clinton has no more.
Actually raisi wa Mexico aliwaalika wote wawili. Trump akakubali mwaliko mara moja. Si unajua Hillary lazima afanye calculations kwanza.
 
Nilikuwa natazama CNN poll, Trump anaongoza kwa 45% dhidi ya 43% za Hillary Clinton.

Lakini pia inaonyesha kwa categories zote I.e likely voters, registered voters, truth worthy leader etc Trump anaongoza. Kilichonishangaza pia ni kuwa katika category zote Hillary ameshuka sana baada ya Convetion. Na zaidi ya hapo ni spending ya Hillary ya 120 milioni kwenye ads wakati Trump ni 20 milioni tu Usd.

Kama trend ni hii hadi Novemba inawezekana tukashuhudia kisichotegemewa na wengi.

Cc nguruvi 3, BAK, Koba, kui

Anaongoza popular vote ama pia kwenye electoral college including key states?
Remember Al Gore won the popular vote but lost the election to Dubya in 2000
The magic number is 270 electoral points
 
Mimi mwanamke lakini cheo kikubwa kama urais hapana ka kweli...!
Wanawake 95%hatuna uwezo wa kuhimili mikikimiki ya uongozi mkubwa kama huo
We huoni yule wa Brazil washamtema!
Na yule wa Liberia Kwa sababu tu ni Africa ingekua nchi zilizoendelea washamtema!

Tena taifa lenyewe kubwa America bora Trumph
Sielewi sana hoja yako na mifano yako. Je, Queen Nzinga Mbandi wa Wambundu hapo kale? Je, Margareth Thatcher wa Waingereza? Tusemeje juu ya Golda Meijer wa Israel? nk
 
Sielewi sana hoja yako na mifano yako. Je, Queen Nzinga Mbandi wa Wambundu hapo kale? Je, Margareth Thatcher wa Waingereza? Tusemeje juu ya Golda Meijer wa Israel? nk
Sawa kama hujaelewa Ila mi nshaeleza tayari...!!
 
Anaongoza popular vote ama pia kwenye electoral college including key states?
Remember Al Gore won the popular vote but lost the election to Dubya in 2000
The magic number is 270 electoral points
Remember that has happened only four times ni very rare tukio kama hilo
Sherrif Joe
Hahaaa
Nakuheshim sana mzee wa Az
 
Back
Top Bottom