CNN Poll: Trump anaongoza

CNN Poll: Trump anaongoza

Siku zote kwanza wamarekani hawajawahi kuamini juu ya mwanamke
Halafu kingine wanataka mtu mbabe mbabe kwa sasa maana hata urusi kwa sasa ina rais bora kuliko marekani
Kingine namtakia ushindi trump nataka kuona akiwasili korea ya kazkazini au akimwalika rais wa korea kazkazini nchi yenye ushirika na china
 
Unaweza kutuwekea sasa mfano hai ni nani na ni lini alishinda "popular vote" na kwenye uchaguzi akashinda.

Hapo ndio utaona kuwa mke mwenza wa monica Lewinsky anapiga ramli, na wapiga nyanga za ramli wewe ni miongoni mwao.
TRUMP, TRUMP, TRUMP.
Hapana, hujaweza kunielewa hata siku moja. Mimi si team Clinton, ila kwa hali ya sasa namuunga mkono kwa sababu namuona kama the most prepared, the most capable and has the best temperament. Lakini sioni ajabu, wapo watu wameniita Chadema kwa sababu tu siipendi CCM...uamuzi namuachia the beholder!

Sasa turudi kwenye hoja na naomba nikupe hizi facts tano kuhusu Marekani...
  1. In 1824 Andrew Jackson won the popular vote but got less than 50% of the electoral votes. John Quincy Adams became the next president when he was picked by the House of Representatives.
  2. In 1876 Samuel Tilden won the popular vote but lost the election when Rutherford B. Hayes got 185 electoral votes to Tilden’s 184.
  3. In 1888 Grover Cleveland won the popular vote but lost the election when Benjamin Harrison got 233 electoral votes to Cleveland’s 168.
  4. In 2000 Al Gore won the popular vote but lost the election to George Bush. In the most highly contested election in modern history, the U.S. Supreme Court stopped the Florida recount of ballots, giving Bush the state’s 25 electoral votes for a total of 271 to Gore’s 255.
Na ya tano ni hii kuhusu kurudishwa Ikulu mtu huyo huyo baada ya kutoka madarakani...

Grover Cleveland was elected president (1884) then lost his re-election campaign (1888) and came back again to win the presidency for a second time. (1892)

Na mwisho kabisa ni kiapo cha Rais wa Marekani...

I do solemnly swear [or affirm] that I will faithfully execute the Office of President of the United States, and will to the best of my ability, preserve, protect and defend the Constitution of the United States.
 
Ni kweli wazungu wabaguzi wote watampigia kura Trump lakini bahati nzuri si majority. Wangekuwa majority, Obama hangepata awamu ya pili achilia mbali awamu ya kwanza. Hata hivyo majimbo kama California, New York na majimbo mengine kama hayo wazungu wabaguzi wana wakati mgumu na kwa mara ya kwanza hata Texas wanaanza kushtuka.



Texas inawafanya GOP wa work extra, kuna sehemu Hillary ana tie na Trump...Texas?!....Woi!
 
Back
Top Bottom