CNN Poll: Trump anaongoza

CNN Poll: Trump anaongoza

Hapana, hujaweza kunielewa hata siku moja. Mimi si team Clinton, ila kwa hali ya sasa namuunga mkono kwa sababu namuona kama the most prepared, the most capable and has the best temperament. Lakini sioni ajabu, wapo watu wameniita Chadema kwa sababu tu siipendi CCM...uamuzi namuachia the beholder!

Sasa turudi kwenye hoja na naomba nikupe hizi facts tano kuhusu Marekani...
  1. In 1824 Andrew Jackson won the popular vote but got less than 50% of the electoral votes. John Quincy Adams became the next president when he was picked by the House of Representatives.
  2. In 1876 Samuel Tilden won the popular vote but lost the election when Rutherford B. Hayes got 185 electoral votes to Tilden’s 184.
  3. In 1888 Grover Cleveland won the popular vote but lost the election when Benjamin Harrison got 233 electoral votes to Cleveland’s 168.
  4. In 2000 Al Gore won the popular vote but lost the election to George Bush. In the most highly contested election in modern history, the U.S. Supreme Court stopped the Florida recount of ballots, giving Bush the state’s 25 electoral votes for a total of 271 to Gore’s 255.
Na ya tano ni hii ya mwisho kuhusu kurudishwa Ikulu mtu huyo huyo baada ya kutoka madarakani...

Grover Cleveland was elected president (1884) then lost his re-election campaign (1888) and came back again to win the presidency for a second time. (1892)
Pure Hillary troll

Wanaona mbali wameshaona Trump gonna win the election ndio mana Mexican President Enrique Pena Nieto alimpa compliment invitation na wamediscuss kuhusu swala la border wall uliona wapi rais wa nchi jirani anakutana na presidential candidate and addressing negotiations about the two countries as if Obama is dead.
Clinton has no more.

Well said, wewe ndiyo umemaliza kila kitu - nakupongeza sana.
 
Redeemer said:

Ushabiki wa Kitanzania...ukurupukaji na kutofuata sheria wala protocol mnaiona kama sifa ya kumpa mtu uongozi (Sadam Rais wa Kuwait); Rais wa Mexico alitoa mwaliko kwa wote...Trump kama kawaida akadakia, Clinton kwa kujua taratibu akapotezea.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kuna hawa watu watatu Bush alizishwa na uwakiloshi wa Trump ndani ya chama, Bill Clinton naye lazima kuna vitu atafanya mke wake ashinde ,Obama vile vile anafanya kila liwezekanalo kummaliza huyu bwana na ukumbuke Obama ana chembe za Uafrika ambazo ni Umafia kwa kwenda mbele!

Ni kweli mkuu, hata TRUMP mwenyewe hilo analijua sana - lakini nina uhakika watakuwepo watu watakao hakikisha jaribio hilo linazimwa mapema - tukumbuke TRUMP naye ni mfanya biashara mahili ana marafiki wengi wenye marafiki - usifikiri naye awezi kufanya umafia akigunduwa jamaa wamepania kumchezea rough.

Katika uchaguzi huu mtu anaye pull a string ni Clinton Mr. amepania mkewe ashinde alafu yeye ndiye atawale akiwa nyuma ya pazia, anajua wazi mkewe ni mgonjwa wa kifafa aliyo upata miaka mnne iliyopita baada ya kudondoka na kubamizwa kichwa sakafuni, alipata brain concussion na blood clot kwenye Ubongo walimfanyia operation ya kutoa clot lakini hali yake bado haijatengamaa, madaktari bingwa wanasema kuanguka kwake sakafuni kilisababishwa na stroke, ugonjwa wa kifafa ujitokeza in mild form wakati mwingine anakuwa na bizzare behaviour wakati mwingine ana freeze kwa sekude kama thelathini akiwa ameshikiria mike, walizi wake wakiona hivyo wanamuwahi kimshikiria - cha ajabu wapiga kura wake health condition ya Hillary Clinton wala hawaiwekei maanani hata kidogo!!!

Ushabiki wa Kitanzania...ukurupukaji na kutofuata sheria wala protocol mnaiona kama sifa ya kumpa mtu uongozi (Sadam Rais wa Kuwait); Rais wa Mexico alitoa mwaliko kwa wote...Trump kama kawaida akadakia, Clinton kwa kujua taratibu akapotezea.

Mag3 mara nyingi unakuwaga mstaarabu sana, siwezi kuamini kama unaweza kuandika mambo ya ajabu kama haya!! Sasa kilicho kukasirisha ni kitu gani if I may ask, kwani Watanzania hawana akili za ku analyse mambo au hawana uhuru wa kuandika maoni yao mradi awamkwazi mtu?
 
Ha ha haa Bukyanagandi, very funny!

978-81-8468-097-3.jpg

No doubt you also believed this...!

X4jPIHMsn4P4SucvEqSE_29_bfa656a2facdfc91731a563dca4b60cf_image.jpg

Or this...Trump shot dead...!
trump-shot.jpg

Najua wewe unataka kuanzisha malumbano yasiyo na msingi, sasa swali: Je, mama huyo hana tatizo lolote la kiafya? Clip ya kwanza walirudia rudia angalia zinazo fuata.
 
Najua wewe unataka kuanzisha malumbano yasiyo na msingi, sasa swali: Je, mama huyo hana tatizo lolote la kiafya? Clip ya kwanza walirudia rudia angalia zinazo fuata.
Nimeziona hizo clips toka zinatolewa kwa mara ya kwanza na najua mengi tu...ungekuwa mtaalamu wa IT ungenielewa, sasa naomba tuachie hapo! Hivi Obama alimshindaje huyo mama!
 
Ni kweli mkuu, hata TRUMP mwenyewe hilo analijua sana - lakini nina uhakika watakuwepo watu watakao hakikisha jaribio hilo linazimwa mapema - tukumbuke TRUMP naye ni mfanya biashara mahili ana marafiki wengi wenye marafiki - usifikiri naye awezi kufanya umafia akigunduwa jamaa wamepania kumchezea rough.

Katika uchaguzi huu mtu anaye pull a string ni Clinton Mr. amepania mkewe ashinde alafu yeye ndiye atawale akiwa nyuma ya pazia, anajua wazi mkewe ni mgonjwa wa kifafa aliyo upata miaka mnne iliyopita baada ya kudondoka na kubamizwa kichwa sakafuni, alipata brain concussion na blood clot kwenye Ubongo walimfanyia operation ya kutoa clot lakini hali yake bado haijatengamaa, madaktari bingwa wanasema kuanguka kwake sakafuni kilisababishwa na stroke, ugonjwa wa kifafa ujitokeza in mild form...

Hii video ya pili inaonyesha kabisa she was just making fun out of the whole issue, and having a good time about it.
 
Ila kuna watu wanasema kuna wazungu wengi wabaguzi hawasemi hadharani watampigia kura Trump
ila siku ya uchaguzi watampigia na wakimpigia wengi anaweza kushinda
 
Ila kuna watu wanasema kuna wazungu wengi wabaguzi hawasemi hadharani watampigia kura Trump
ila siku ya uchaguzi watampigia na wakimpigia wengi anaweza kushinda
Ni kweli wazungu wabaguzi wote watampigia kura Trump lakini bahati nzuri si majority. Wangekuwa majority, Obama hangepata awamu ya pili achilia mbali awamu ya kwanza. Hata hivyo majimbo kama California, New York na majimbo mengine kama hayo wazungu wabaguzi wana wakati mgumu na kwa mara ya kwanza hata Texas wanaanza kushtuka.

Polls: Trump and Clinton deadlocked in Florida, Ohio
By STEVEN SHEPARD

09/08/16 03:36 PM EDT

New Quinnipiac University polls out Thursday show close races in the four largest, most consequential swing states on the 2016 map — but also give Hillary Clinton an edge in two of the four, confirming her Electoral College advantage.

Clinton and Donald Trump are running neck-and-neck in Florida, where the race is deadlocked, and Ohio, where Trump leads Clinton by a single percentage point. But Clinton has a 4-point lead in North Carolina, a poll there shows, and a 5-point edge in Pennsylvania.

The new polls are mostly consistent with other public surveys — though the North Carolina result differs from a Suffolk University poll, also released Thursday, that showed Trump up slightly there. And Quinnipiac shows a toss-up race in Ohio, where other public polls have shown a small, but consistent, Clinton advantage.

The math for Trump is still daunting. He needs to run the table in the four states surveyed by Quinnipiac — which were the same four states where he began his first TV ad campaign last month — if the other 46 states and the District of Columbia go for the same party they did in 2012. If he loses even one of those four populous states and can’t flip any other combination of smaller states on the map, Trump would lose.

In Florida, Clinton and Trump are deadlocked at 47 percent among likely voters, according to the poll, which first asked respondents to choose only between the two major-party candidates. Trump leads Clinton among male voters by 22 points, 58 percent to 36 percent. But Clinton equals him with a 20-point lead among women, 56 percent to 36 percent.

Polls: Trump and Clinton deadlocked in Florida, Ohio
Follow us: @politico on Twitter | Politico on Facebook
 
Ila kuna watu wanasema kuna wazungu wengi wabaguzi hawasemi hadharani watampigia kura Trump
ila siku ya uchaguzi watampigia na wakimpigia wengi anaweza kushinda

Lakini kwa nini watu wanapenda kuingiza ubaguzi wa rangi hata pasipostahili?

Hivi ina maana mtu akiwa mzungu na akimpigia kura Trump, kwa sababu hiyo ndo anakuwa mbaguzi wa rangi?

Hakuna wazungu wabaguzi wa rangi wataompigia kura Hillary?

Hakuna Walatino wabaguzi wa rangi wataompigia kura Hillary?

Hakuna weusi wabaguzi wa rangi wataompigia kura Hillary?

Au ubaguzi wa rangi huwa ni wa wazungu tu?

Na Hillary, mumewe, mtoto wao Chelsea, na wale wajukuu wao wawili, wao siyo wabaguzi wa rangi?
 
Amercan need bold president,a one with an iron heart a person who can lead, one who knows the use of mandatory. Na trump ndio mwenyewe so msipoteze muda kama kuna mbishi yupo ajitokeze af muone huyo mama enu atakavyo kula KO.
 
Namkubal sana Trump kwa kwa ni mkweli na si mnafiki,
 
Ni kweli mkuu, hata TRUMP mwenyewe hilo analijua sana - lakini nina uhakika watakuwepo watu watakao hakikisha jaribio hilo linazimwa mapema - tukumbuke TRUMP naye ni mfanya biashara mahili ana marafiki wengi wenye marafiki - usifikiri naye awezi kufanya umafia akigunduwa jamaa wamepania kumchezea rough.

Katika uchaguzi huu mtu anaye pull a string ni Clinton Mr. amepania mkewe ashinde alafu yeye ndiye atawale akiwa nyuma ya pazia, anajua wazi mkewe ni mgonjwa wa kifafa aliyo upata miaka mnne iliyopita baada ya kudondoka na kubamizwa kichwa sakafuni, alipata brain concussion na blood clot kwenye Ubongo walimfanyia operation ya kutoa clot lakini hali yake bado haijatengamaa, madaktari bingwa wanasema kuanguka kwake sakafuni kilisababishwa na stroke, ugonjwa wa kifafa ujitokeza in mild form wakati mwingine anakuwa na bizzare behaviour wakati mwingine ana freeze kwa sekude kama thelathini akiwa ameshikiria mike, walizi wake wakiona hivyo wanamuwahi kimshikiria - cha ajabu wapiga kura wake health condition ya Hillary Clinton wala hawaiwekei maanani hata kidogo!!!

Propaganda za Trump. Hakuna ushahidi wowote.
 
Namkubal sana Trump kwa kwa ni mkweli na si mnafiki,
Huyu jamaa wazungu wanampenda tu kwasababu zao binafsi ila ameshaongea uongo sasa hadharani. But unajua tena ukipenda chongo.......
 
Back
Top Bottom