CNN Poll: Trump anaongoza

CNN Poll: Trump anaongoza

Wanaona mbali wameshaona Trump gonna win the election ndio mana Mexican President Enrique Pena Nieto alimpa compliment invitation na wamediscuss kuhusu swala la border wall uliona wapi rais wa nchi jirani anakutana na presidential candidate and addressing negotiations about the two countries as if Obama is dead.
Clinton has no more.
Mbona Kinyatta Amekutana Lowassa. Mkuu iyo sio sababu....inch nyingi ambazo ni maadui wa marekani hasa China, Russia wanapigia upatu ili Trump awe Rais.
 
Mimi mwanamke lakini cheo kikubwa kama urais hapana ka kweli...!
Wanawake 95%hatuna uwezo wa kuhimili mikikimiki ya uongozi mkubwa kama huo
We huoni yule wa Brazil washamtema!
Na yule wa Liberia Kwa sababu tu ni Africa ingekua nchi zilizoendelea washamtema!

Tena taifa lenyewe kubwa America bora Trumph
sasa hao asilimia 5 iliyobaki si ndo wanaweza...
 
Etii...eeehhh!!tell me more!!

Nakupa hints tuu, ukitaka taarifa zaidi utalipia.
Kipindi chake mawaziri wanawake au viongozi wakubwa wanawake ndio walipungua kabisa ni kama alibaki mwenyewe tuu.
Alibadilisha sera nyingi za mama na mtoto, na kufanya hata upendeleo walio kuwa wanapata kupungua,
aliwadis wapigania haki za wanawake wa huko UK alikuwa anasema wanataka kukimbia majukumu yao ya u mama tuu.
Sera zake zilifanya hali ya uchumi kuwa ngumu na wanawake ndo waliumia zaidi
 
Mi naamini Clinton atashinda, nitatoa sababu baada ya Presidential Debate ya kwanza tarehe 26September 2016
 
Nakupa hints tuu, ukitaka taarifa zaidi utalipia.
Kipindi chake mawaziri wanawake au viongozi wakubwa wanawake ndio walipungua kabisa ni kama alibaki mwenyewe tuu.
Alibadilisha sera nyingi za mama na mtoto, na kufanya hata upendeleo walio kuwa wanapata kupungua,
aliwadis wapigania haki za wanawake wa huko UK alikuwa anasema wanataka kukimbia majukumu yao ya u mama tuu.
Sera zake zilifanya hali ya uchumi kuwa ngumu na wanawake ndo waliumia zaidi
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziee!!
Wanawake tuna wivu wa wenyewe kwa wenyewe

Asante sana wangu!
 
Back
Top Bottom