minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,433
Polisiccm wapora waleti simu za waliowaua ni unyama wa kutisha sanaUchunguza kubain kwamba police waliwazuia madaktari wasiwatibu majeruhi, kuwapeleka mortuary wafiehuko ni ukatili uliopituliza.
Polisiccm wapora waleti simu za waliowaua ni unyama wa kutisha sanaUchunguza kubain kwamba police waliwazuia madaktari wasiwatibu majeruhi, kuwapeleka mortuary wafiehuko ni ukatili uliopituliza.
TBC1 wapo live wanaonyesha protestors walivyochoma shell za mafuta unaweza kwenda kuangalia.Wanapaswa kuonyesha pia namna protesters walivyochoma miundombinu na kuiba mali za watu.
Mandamano kikatiba kisheria ni haki ya wananchi, hakuna wa kuwazuia,All these nonsensical justifications won't help anything comrade.
Hakuna namna mama yako ataepuka rungu la ICC kwa hiki alichokifanya, yaani uuwe watu zaidi ya 10,000 kwa kisingizio cha kwamba eti wanaharibu miundo mbinu ya umma, halafu utegemee dunia itakuelewa?
Hivi unafahamu hata sheria za kimataifa ambazo zinatoa guideline jinsi vyombo vya ulinzi vinavyopaswa kukabiliana na violent political demonstrations?
Hizo unazoziita vurugu dunia haitambui kama vurugu, bali inayatambua kama maandamano yaliyoambatana na fujo ambapo ni kawaida uharibifu kutokea, sasa nyie endeleeni na kusukuma hiyo narrative yenu eti "vurugu" mkiamini kwamba itawasaidia kuwatoa hatiani.
Uliwahi kuona wapi, "vurugu" zinatokea karibu nchi nzima tena kwa muda mmoja na tena siku ya uchaguzi? Kwanza kitendo tu cha lile tukio kutokea siku ya uchaguzi ni ngumu sana kulitenganisha na siasa, na tena ukizingatia hapo nyuma kumekuwepo na madai ya kubadilisha katiba kabla ya kuingia kwenye uchaguzi inaongeza uhalali kuwa yale yalikuwa ni maandamano ya kisiasa.
Haya maneno kama "vurugu".."vibaka" sijui "wezi" hili kuhalalisha mauaji ya halaiki mliyofanya yatabaki kwenye midomo ya nyie maccm.
Halafu kwanza kwanini uzime internet nchi nzima hili ukabiliane na hao vibaka!? Kwanin hutaki kutoa idadi kamili ya vifo ilihali uliowaua ni wahalifu? Kwanin uende kuwazika wahalifu kwa siri na wakati inatakiwa kila kitu kifanyike kihadhara hili iwe fundisho kwa wahalifu wengine..!?
Bana nyie na mama yenu hamchomoki kwenye hili.
Waliokuwa wakichoma shells kuiba vitu ni Polisiccm na maccm ili wapate kutengeneza visingizio vya kuwaua watuTBC1 wapo live wanaonyesha protestors walivyochoma shell za mafuta unaweza kwenda kuangalia.

Hii ni kweli, kuna ile video ya mochwari, kuna maiti zimevuliwa nguo, zipo na boxer tyuu.Polisiccm wapora waleti simu za waliowaua ni unyama wa kutisha sana
Hii ni kweli, kuna ile video ya mochwari, kuna maiti zimevuliwa nguo, zipo na boxer tyuu.Polisiccm wapora waleti simu za waliowaua ni unyama wa kutisha sana
Issue sio protesters wamefanya nini, issue ni mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama dhidi ya protesters.Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili
Wanapaswa kuonyesha pia namna protesters walivyochoma miundombinu na kuiba mali za watu.
Sipo nyumbani kwa sasa, naweza kuwa na biased opinion
Huu ulikuwa ni zaidi ya unyama kuliko hata kupiga risasi.Uchunguza kubain kwamba police waliwazuia madaktari wasiwatibu majeruhi, kuwapeleka mortuary wafiehuko ni ukatili uliopituliza.
Hii ni laana ndio maana polisi wengi wakistaafu maisha yao huwa ngumu sana.Polisiccm wapora waleti simu za waliowaua ni unyama wa kutisha sana