PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili

Wanapaswa kuonyesha pia namna protesters walivyochoma miundombinu na kuiba mali za watu.

Sipo nyumbani kwa sasa, naweza kuwa na biased opinio
Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili

Wanapaswa kuonyesha pia namna protesters walivyochoma miundombinu na kuiba mali za watu.

Sipo nyumbani kwa sasa, naweza kuwa na biased opinion
Kwaiyo kama wlikuwa ni wezi ndio wapigwe risasi na mahaka zipo acha kuwa na akili fupi Sheria zanini sasa I swear to God me na police ni maadui mana siwapendi na ninawaombia vifo visivyo Isha kwenye family zao mateso na umasikini ulio kithili kwenye family zao maumivu machungu walio pata wapendwa wetu walio faliki kwenye maandamano ya waendee kwenye family zao Coz it so painful 💔
 
Back
Top Bottom