PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili

Wanapaswa kuonyesha pia namna protesters walivyochoma miundombinu na kuiba mali za watu.

Sipo nyumbani kwa sasa, naweza kuwa na biased opinion
Haya maandishi yako hayasikiki popote
 
Je ingekuwaje kama risasi zingetumika? Hao waandamanaji wangeishia wapi??
Wewe ndiyo mwizi ulikuwa na Polisiccm wasio na unform mlipora vitu kwenye maduka ili upate kisingizio cha kuwapiga watu Risasi na kuwaua, wezi ni nyingi mashetani
 
Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili

Wanapaswa kuonyesha pia namna protesters walivyochoma miundombinu na kuiba mali za watu.

Sipo nyumbani kwa sasa, naweza kuwa na biased opinion
All these nonsensical justifications won't help anything comrade.

Hakuna namna mama yako ataepuka rungu la ICC kwa hiki alichokifanya, yaani uuwe watu zaidi ya 10,000 kwa kisingizio cha kwamba eti wanaharibu miundo mbinu ya umma, halafu utegemee dunia itakuelewa?

Hivi unafahamu hata sheria za kimataifa ambazo zinatoa guideline jinsi vyombo vya ulinzi vinavyopaswa kukabiliana na violent political demonstrations?

Hizo unazoziita vurugu dunia haitambui kama vurugu, bali inayatambua kama maandamano yaliyoambatana na fujo ambapo ni kawaida uharibifu kutokea, sasa nyie endeleeni na kusukuma hiyo narrative yenu eti "vurugu" mkiamini kwamba itawasaidia kuwatoa hatiani.

Uliwahi kuona wapi, "vurugu" zinatokea karibu nchi nzima tena kwa muda mmoja na tena siku ya uchaguzi? Kwanza kitendo tu cha lile tukio kutokea siku ya uchaguzi ni ngumu sana kulitenganisha na siasa, na tena ukizingatia hapo nyuma kumekuwepo na madai ya kubadilisha katiba kabla ya kuingia kwenye uchaguzi inaongeza uhalali kuwa yale yalikuwa ni maandamano ya kisiasa.

Haya maneno kama "vurugu".."vibaka" sijui "wezi" hili kuhalalisha mauaji ya halaiki mliyofanya yatabaki kwenye midomo ya nyie maccm.

Halafu kwanza kwanini uzime internet nchi nzima hili ukabiliane na hao vibaka!? Kwanin hutaki kutoa idadi kamili ya vifo ilihali uliowaua ni wahalifu? Kwanin uende kuwazika wahalifu kwa siri na wakati inatakiwa kila kitu kifanyike kihadhara hili iwe fundisho kwa wahalifu wengine..!?

Bana nyie na mama yenu hamchomoki kwenye hili.
 
Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili

Wanapaswa kuonyesha pia namna protesters walivyochoma miundombinu na kuiba mali za watu.

Sipo nyumbani kwa sasa, naweza kuwa na biased opinion
Wahalifu huwa wanakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kufunguliwa mashtaka. Sio kupigwa risasi za vichwa.
 
Hakukuwa maandamano bali kulikuwa na magenge ya wezi na waharibifu wa mali. Walichokipata kutoka kwenye nguvu ya dola wanastahili

Wanapaswa kuonyesha pia namna protesters walivyochoma miundombinu na kuiba mali za watu.

Sipo nyumbani kwa sasa, naweza kuwa na biased opinion
Wewe ndiyo uliunda magenge yako na Polisiccm mkawa mnapora kuiba mali na kuisafirisha bila kuonekana ili upate kisingizio cha kuwapiga watu risasi kuwaua, kila mwenye Akili Timanu anajua wewe ndiyo mwizi na mchochezi wa vurugu
 
Back
Top Bottom