Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

Status
Not open for further replies.
mpira ni sehemu au mpango WA kishetani...

Mpira unahamasisha ngono ,,unahamasisha ushaoga,,ulevi,kamari,,uvivu,,hasira,, ibada ya sanamu,,

Nasisitiza tena Mpira ni hekima toka kuzimu..ww mkristo mwenzang achana na mamb ya mpira coz unamwabudu shetan bila kufahamu..
Mbona Kuna madhehebu yanahamisha ushoga lakini hatutumu dini kama mpango wa shetani?
 
Swali la kujiuliza,hivyo shoga akiakua kuliwa tope au demu akiamua kusagana au dume likijibadilisha jinsi,wewe mwenzangu na mimi kinachokuuma hasa ni kitu gani?mi naona acha waishi maisha yao watajuana wenyewe na muumba wao. Nyambafu vitu vingine ni kupoteza muda tu kuhangaika navyo.
Tatizo linakuja wanapolazimisha watu wasiopenda mambo yao washerehekee nao uchafu wao
 
Kama unafumuliwa usilazimishe mkuu,na kuwa na adabu.....kama unaona we ni mjanja kwasababu huoni ajabu basi jamii yako inaenda kuangamia
Na wanaotembea na Malaya, wanaopiga punyeto mbona huogop, nyie mnaokataa haya mambo ukute ndowaumini
 
mpira ni sehemu au mpango WA kishetani...

Mpira unahamasisha ngono ,,unahamasisha ushaoga,,ulevi,kamari,,uvivu,,hasira,, ibada ya sanamu,,

Nasisitiza tena Mpira ni hekima toka kuzimu..ww mkristo mwenzang achana na mamb ya mpira coz unamwabudu shetan bila kufahamu..
Unaweza kutueleza kwa vithibitisho kuwa kuna kuzimu?

Unaweza kutueleza ama kutuonesha huyo shetani alosababisha mpira kuwa yupo kweli na sio mawazo yako ya kihadithi?
 
Siwezi kufanya kitu kinachoenda kinyume asili
Kweli kabisa ila hii kitu imekamata wanaume wengi sana kila siku wana Log In LGBTQ ili kuona nini utamu wake mbona inasemwa sana na mwisho wa siku wanazama mazima. Wengi waliokuwa wanaupigia kelele siku hizi wanakulana na wameacha kelele kabisa
 
Siwezi kufanya kitu kinachoenda kinyume asili
Waziri mkuu wa Canada ambao nyinyi wenyewe kila siku mnaomba muende huko, mnataka watoto wenu wakasome huko anaunga mkono ushoga lakini ajabu mnataka muende huko kutafuta maisha na kule pesa nyingi na ajira wanatoa mashoga

Sasa huwez kukataa ushoga mwenye ofisi ni shuga unless kataa vyote, serikali yetu inapokea misaada kutoka kwenye hizi nchi
Screenshot_20230628-135836.jpg
 
Waziri mkuu wa Canada ambao nyinyi wenyewe kila siku mnaomba muende huko, mnataka watoto wenu wakasome huko anaunga mkono ushoga lakini ajabu mnataka muende huko kutafuta maisha na kule pesa nyingi na ajira wanatoa mashoga

Sasa huwez kukataa ushoga mwenye ofisi ni shuga unless kataa vyote, serikali yetu inapokea misaada kutoka kwenye hizi nchi View attachment 2671718
Mwanaume mboo unakuwa nayo lakini unachanganywa na ya mwenzio, hii imekaaje? 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom