Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

Status
Not open for further replies.
.
Screenshot_20230628-161248.jpg
Screenshot_20230628-161243.jpg
 
Shoga azai shoga.ushoga ni tabia ya kujifunza sawa na ulevi, umalaya,uteja,ukibaka nk.
Ushoga ni ugonjwa wa kiroho
Unajua maana ya nature? We unajifunza kutomba coz huzaliwi ukitomba does that mean kutomba ni tabia na ni unnatural. How is ulevi unnatural wakati pombe ni part of nature, uteja ndo Nini? Malaya hazai Malaya? Malaya nae si anafanya sex ambao ni natural according to u, anakuwaje nae against nature? ROHO NI NINI, IKO WAPI, LETA USHAHIDI WA ROHO KUWEPO, NA MAGONJWA YAKE NA ULETE USHAHIDI WA KISAYANSI NA KIMANTIKI SIO UNAONGEA TAKATAKA TU HAPA
 
Kupunguza idadi ya watu Duniani sawa na ilivyo vita, corona, uzazi wa mpango, ukimwi nk zote ni project za wazee wa suti nyeusi
1. Wazee wa suti nyeusi ndo nani au Nini?
2. Magonjwa yalikuwepo, ushoga ulikuwepo, vita zilikuwepo, uzazi wa mpango ulikuwepo, for thousand of years, mbona watu wanazidi kuongezeka?
3. Tufanye watu wameongezeka kutoka million 45 mpaka 60 Tanzania ndani ya miaka 10 kwa sababu hamruhusu ushoga, ehe imewaletea maendeleo gani ya kiuchumi, kisiasa na kijamii kuliko nchi za ulaya na marekani zilizoruhusu ushoga na population zao zinaendelea kukua kwa kasi na maendeleo wanayo maradufu kuliko nchi yako Tanzania na kuliko wewe binafsi
4. Skia, soma soma vitabu, mitandaoni, na kwenginevyo, itakusaidia. Acha kutema shiti mtandaoni
 
Mimi sijazungumzia dini..nazungumzia Mpira unahamasisha uvivu Kwa kubet ,vijana wanashinda kubet wakisubir utajir hawataki kufanya kazi..

Mpira unahamasisha ushoga coz mara kadhaa timu Zina support hyo jamiii refer psg,baselona,na world cup nchi kadhaaa.. nk

Ugomvi na hasira..hapa ukikutana na washabiki kindakindaki wakulia Lia wale wa Simba yanga man u na sijui Madrid...

Ulevi coz washabiki uwanjan ni kupombeka tuuu na mwisho ngono tuu wakitoka umo uwanjan...
Sasa hayo mambo mengine ni mambo ya mtu binafsi.
Habari ya ngono na mpira wapi na wapi.

Ngono si ni tabia za mtu tu.?

Habari ya Ulevi na mpira wapi na wapi.
Ulevi si ni tabia za mtu tu.!?

Yaani unaeleza vitu ambavyo hata havihusiani.

Hiyo ni logical non sequitur.
 
Wanapunguaje kwani shoga anaumwa Kansa mpaka afe!
Wanapunguza uwezo wa kuzaa,ukishafokolewa nguvu za kiume zinaisha unakuwa sawa na zombi tu ushaharibiwa saikolojia yako plus Ile nguvu yako ya ndani manhood huwezi simamisha kuzalisha.
Pia mtu yeyeto anaekojolewa hawezi kuwa Smart kichwan
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom