Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,133
- Thread starter
- #61
[emoji23][emoji23][emoji23]machoko kumbe mpo wengi humu. tafuteni dunia ya kwenu.
[emoji23][emoji23][emoji23]machoko kumbe mpo wengi humu. tafuteni dunia ya kwenu.
Sasa shida ipo Wapi, sisi sio mashoga na hizo ni rangi tu perception zao zitakuwa tofauti na sisi, rangi hiyo ya upinde wa mvua hata bongo huwa unaonekana. Serikali imeshindwa kutujengea barabara si bora waje watujengee hao machoko tuYaani uwekewe na rangi zao?
Una promote kwa akili mkuu,
Una ushamba wa kizamani sana, misuri unayotumia kuropoka hum ungetumia kwenye bandari ungeonekana wa maana sanawatoto wako ndio mashoga. sisi wengine watoto wetu sio mashoga. kula makemikali sio sababu ya kuwa punga, ila ukiingiwa na roho ya shetani utakuwa punga tu. kama ulivyo wewe.
JIBU SWALIHichi ni Kingereza au UGORO?
Niliwahi sikia sheikh mmoja akisema Mpira ni haramu, Allah amekataza.mpira ni sehemu au mpango WA kishetani...
Mpira unahamasisha ngono ,,unahamasisha ushaoga,,ulevi,kamari,,uvivu,,hasira,, ibada ya sanamu,,
Nasisitiza tena Mpira ni hekima toka kuzimu..ww mkristo mwenzang achana na mamb ya mpira coz unamwabudu shetan bila kufahamu..
Swali gani?JIBU SWALI
Na kuchochea vita Kati ya kiumbe mwanaume na kiumbe mwanamke.Wazee wa suti hawapromote tu ushoga bila faida,lengo lao kuu ni kupunguza idadi ya watu Duniani wabakie watakaoweza wacontrol.
Sasa kama haujui swali uliloulizwa tunajadili niniSwali gani?
Na kutembea na wake za watu Je? Kuuwa maalubino??, pumbavu zenu nyie ndokama wale wanasema nguruwe haramu ila pombe anakunywaInasikitisha sana...
Inasikitisha sana...Na kutembea na wake za watu Je? Kuuwa maalubino??, pumbavu zenu nyie ndokama wale wanasema nguruwe haramu ila pombe anakunywa
machoko kumbe mpo wengi humu. tafuteni dunia ya kwenu.
Mbeleni huko Pana vita kubwa sana kati ya mashoga na Malaya kumgombea mwanaumeNa kuchochea vita Kati ya kiumbe mwanaume na kiumbe mwanamke.
Yupi anapaswa kupokelewa na kuabudiwa sasa?Yesu au mungu?Nashabikia mwenye dhambi akimpokea Yesu Kama Mungu wake..mwisho nashabikia kutimiza kusudi langu kabla sijazeeka.
Pana factor wanafeli wangeweza wasingekuwa wanazileta hizo ajenda zaoSahivi hawawacontrol??
Pana factor wanafeli wangeweza wasingekuwa wanazileta hizo ajenda zao
Yesu ndohuyohuyo MunguYupi anapaswa kupokelewa na kuabudiwa sasa?Yesu au mungu?
Hhhahaha wabongo ndotunaanza kufoka ila msaada tunaitakaHawajawahi kufeli,mana kila mdundo wakiuleta mnaucheza na wao wanabaki wana wachora tu.
Ipo hivyoHii vita tutapoteza kama tulivyopoteza vita zingine zote. Yaani 2050 dunia itakuwa na hali mbaya sana kwenye hii issue ya kutifuana mitaro, pole nyingi sana kwa waliozaliwa 2010+