balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,838
- 15,671
Mnaleta huu upuuzi ili muuze bandari zetuBendera kama ya CHADEMA.!
Mnaleta huu upuuzi ili muuze bandari zetuBendera kama ya CHADEMA.!
Hata Mimi huwa nashangaa.Jitu zima na miaka zaidi ya 18 likaamua kuliwa tigo Mimi inanihisu Nini?Swali la kujiuliza,hivyo shoga akiakua kuliwa tope au demu akiamua kusagana au dume likijibadilisha jinsi,wewe mwenzangu na mimi kinachokuuma hasa ni kitu gani?mi naona acha waishi maisha yao watajuana wenyewe na muumba wao. Nyambafu vitu vingine ni kupoteza muda tu kuhangaika navyo.
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji85][emoji85]Inaangamiaje? Kukiwa na shoga mtaani kwenu we unapata hasara gani? Au unataka amfire mke wako?
Wewe mtoto wako anadindisha?Mwanao tu ndo hadindishi
Wangejua wanaua soka la miaka ya mbeleni. Wanaume mchele mchele hawawezi cheza soka la kibabe
Kawapinga juu ya ajenda Yao ya ushogaUnauhakika gani aliyepo sio mtu wao pia?
Ushoga ni AJENDA?ajenda Yao ya ushoga
Kwani shida ipo Wapi? Mbona Kuna madanguro ya wahaya nahamkataiMbona siyo barcelona pekee tu? Klabu karibu zote za ulaya na ligi zao zinashadidia hayo mambo. Itafika siku nchi wanachama wa mchezo huo duniani kutakiwa nazo zishadidie ushenzi huo. Fikirieni klabu zetu za simba, yanga na azam nazo zilazimishwe kukubali hayo mambo! Unapita mitaa yao ya msimbazi na jangwani unaona wanapeperusha bendera zao sambasamba na hiyo ya ushenzi huo. Inna lilah waina rajiun
Sex ni natural ushoga ni ajendaUshoga ni AJENDA?
Na kutomba pia ni AJENDA?
AJENDA maana yake nini?Sex ni natural ushoga ni ajenda
Jakub Jankto mchezaji wa getafe mbona ni ***** na anasakata kabumbu hatari, aliyewaambia shoga ni legelege huyo kakudanganya shida nyie mnaongea hawa mateja wa mabondeni waliochoka, nenda marekani mabaunsa wengi ni machoko tuone wewe na wao Nani ana nguvu na misuri ya miguuni na kwenye mikonoWangejua wanaua soka la miaka ya mbeleni. Wanaume mchele mchele hawawezi cheza soka la kibabe
Mipango yenye malengo maalumuAJENDA maana yake nini?
Ipo hivyo, hutak usinunue bidhaa zaoView attachment 2671844
watu wa Iphone tunasherehekea kilazima bila kupenda[emoji38][emoji38][emoji38].
Ukiona upinde wa mvua unawashwa matako au?Mbona siyo barcelona pekee tu? Klabu karibu zote za ulaya na ligi zao zinashadidia hayo mambo. Itafika siku nchi wanachama wa mchezo huo duniani kutakiwa nazo zishadidie ushenzi huo. Fikirieni klabu zetu za simba, yanga na azam nazo zilazimishwe kukubali hayo mambo! Unapita mitaa yao ya msimbazi na jangwani unaona wanapeperusha bendera zao sambasamba na hiyo ya ushenzi huo. Inna lilah waina rajiun
Ipo hivyo, hutak usinunue bidhaa zao
Ushoga sio natural? Kivipi?Sex ni natural ushoga ni ajenda
Malengo ya ushoga ni niniMipango yenye malengo maalumu