Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

Status
Not open for further replies.

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Jiji la Barcelona Leo asubuhi limepambwa na bendera za rainbow kusheherekea siku Yao ya LGTBQ, halii imekwaza mashabiki wengi ulimwenguni

Say no to LGTBQ

Screenshot_20230628-115238_1.jpg
 
mpira ni sehemu au mpango WA kishetani...

Mpira unahamasisha ngono ,,unahamasisha ushaoga,,ulevi,kamari,,uvivu,,hasira,, ibada ya sanamu,,

Nasisitiza tena Mpira ni hekima toka kuzimu..ww mkristo mwenzang achana na mamb ya mpira coz unamwabudu shetan bila kufahamu..
Wewe unashabikiaga nini?
 
Swali la kujiuliza,hivyo shoga akiakua kuliwa tope au demu akiamua kusagana au dume likijibadilisha jinsi,wewe mwenzangu na mimi kinachokuuma hasa ni kitu gani?mi naona acha waishi maisha yao watajuana wenyewe na muumba wao. Nyambafu vitu vingine ni kupoteza muda tu kuhangaika navyo.
 
Mpira ndio dini mpya ulimwengu kwa maana unawaunganisha watu wa dini zote wamuabudu Mungu mpira kombe ni taji
 
Swali la kujiuliza,hivyo shoga akiakua kuliwa tope au demu akiamua kusagana au dume likijibadilisha jinsi,wewe mwenzangu na mimi kinachokuuma hasa ni kitu gani?mi naona acha waishi maisha yao watajuana wenyewe na muumba wao. Nyambafu vitu vingine ni kupoteza muda tu kuhangaika navyo.
Unaongea hivi ukifikiri Shoga hatakuwa ndugu yako au mtoto wako. Hata kichaa anachekesha kama sio ndugu yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom