Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 637
- 1,488
Na ww jifunze kupokea ukweli pindi ukiambiwa..hata kama ni mchungu au ni udhaifu wako...jifunze kupokea!!!Acha kusambaza habari za uongo ma za kuchochea chuki. We Kama hupendi mpira usifuatilie, usilazimishe watu kutofautilia na kupata burudani. Pilipili usioilamba inakuwashia nini. Hamna kitabu Cha dini kinachosema mpira unachochea chochote ulichosema hapo. Na dini umeleta zinaa, mauwaji, wivu, chuki, kuliko chochote kile duniani. So usianze kuongea maneno kujifurahisha. We ni mtu mzima