Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

Status
Not open for further replies.
Swali la kujiuliza,hivyo shoga akiakua kuliwa tope au demu akiamua kusagana au dume likijibadilisha jinsi,wewe mwenzangu na mimi kinachokuuma hasa ni kitu gani?mi naona acha waishi maisha yao watajuana wenyewe na muumba wao. Nyambafu vitu vingine ni kupoteza muda tu kuhangaika navyo.
Wazee wa suti hawapromote tu ushoga bila faida,lengo lao kuu ni kupunguza idadi ya watu Duniani wabakie watakaoweza wacontrol.
 
mpira ni sehemu au mpango WA kishetani...

Mpira unahamasisha ngono ,,unahamasisha ushaoga,,ulevi,kamari,,uvivu,,hasira,, ibada ya sanamu,,

Nasisitiza tena Mpira ni hekima toka kuzimu..ww mkristo mwenzang achana na mamb ya mpira coz unamwabudu shetan bila kufahamu..
Acha kuhusisha mpira na vitu vya kijinga.
 
Exposure ya watanzania ni ndogo sana!

Huko ulaya, hakuna team kubwa ambayo haijaonyesha mshikamano au kuwaunga mkono mashoga!

Either ufuatilie mpira unaochezwa na team yako, au uwafuatilie mashoga wanaoungwa mkono na team yako, chaguo ni la kwako mwenyewe!
 
Swali la kujiuliza,hivyo shoga akiakua kuliwa tope au demu akiamua kusagana au dume likijibadilisha jinsi,wewe mwenzangu na mimi kinachokuuma hasa ni kitu gani?mi naona acha waishi maisha yao watajuana wenyewe na muumba wao. Nyambafu vitu vingine ni kupoteza muda tu kuhangaika navyo.
Kwanza wao ni kama starehe tu kama sisi tunavyokunywa pombe na kuchukua wake za watu
 
Kuwa na busara sio lazima kila kitu uchangie
Huyu faller Tradeu katukanwa sana na raia wa Canada
Screenshot_20230628-125512_Instagram.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom