Club Billicanas. Before then

Yeah 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽

Wakati wake nao ulipitaaaa kitambo..
 
Acha tu mkuu, Club Bilicanas ilikuwa inabeba watu si chini ya 1500. Nakumbuka my first time naingia nikitokea Arusha ilikuwa mwaka 97 mtamboni alikuwepo Dj John Dilinga huku Wally Badarou na Hi Life ndio nyimbo ya kwanza kunipokea. Hatari sana
 
Bills kulikuwa na wana fulani toka kko
Wutang walikuwa wanatamba wao tu mule
Mshana Jr

Ova
Walikuwa jamaa fulani wa hiphop yaani session ya hiphop ikianza ni kama wote mnapanguliwa dance floor wabaki wao.... kama unapenda hiphop na haupo kwa crew yao basi chezea juu kidogo ya dance floor!!!
 
Let bygones be bygones, Wazungu wanasema, there is no use crying over spilt milk.
Yaliyopita yamepita, by the way that Club Billicanas was a vibe! Mara ya kwanza kuingia hapo ilikuwa kitambo sana, 1999 , wakati huo nikiwa bado sijaujua vizuri Ufalme wa MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…