KIWVOPAMBULI
Member
- May 8, 2012
- 47
- 14
ukweli unabaki kwamba kama ccm watafanikiwa kuja na katiba inayojali maslahi ya taifa hilo litakua pigo kubwa la ukawa.
CcM hawawezi kuja na mapendekezo ya katiba ya wananchi.Hawana mandate hiyo.Wanakosa uhalali {legitimacy} maana ili wapate akidi ya kupitisha hoja sahihi,LAZIMA WAWANUNUE NA KUWARUBUNI WAJUMBE <hasa wale kutoka Zbar> ili warudi kutimiliza akidi, na hiyo ni baada ya kupindisha kanuni kwa kuamuru BMK lijadili chapters zote kwa pamoja kisha zije zipigiwe kuta mwishoni,hiyo ni mbinu uchwara ya WAPUMBAVU ya kushinikiza hoja.Wana buy time ili waendelee kuwarubuni wajumbe zaidi kutoka Zbar warudi.Ni mbinu pia ya kumsubiria JK arudi toka kwenye utalii huko Washington awaongoze kutanzua mkwamo uliopo.
Mwisho wa siku watakuja kuchakachua kura za maoni na kuipitisha katiba.Usishangae kuona wanasitisha ku-update daftari la wapiga kura kwa kuwahofia vijana