Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

hawa clouds wanataka kuwa wasimamizi wakuu wa burudani na watu wote wafuate wanachotaka wao, jiulize kwa nini Diamond haendi kigoma kwenye Fiesta
 
Hivi una software ambayo umeiseti ikiletwa thread ya clouds tu iku-arlet?

Maana hii si kawaida kwa kweli.

Achana na mambo ya software.

Wewe unaamini au unajua kuwa Clouds wameacha kupiga nyimbo za Diamond?

Walikaa kikao wakakubaliana kutopiga nyimbo zake?
 
Clauds ndio wanatushusha kimziki wanaendeleza bifu! Pumbafu hawa!
 
Jamani naombeni niseme ninavyoona... Diamond amejisahau sana na kudhani alijipandisha pale juu mwemyewe... Anasahau alipotoka... Na hilo ni kosa kubwa sana wasanii wa bongo hulifanya hakuna msanii aliyejipandisha chat bila ya watu kama wa media sasa unapowaletea mashauzi wao hubadilisha mwelekeo kwa wale wanaostahili...


He thinks, his an island... He's not...
 

Yes kwa bongo flavour ni kweli usemacho unless uwe mbishi km jide na kina sugu.....
Claus wana tabia mbaya sn. .wapi mb dogg nk
....
 
Uzuri wake craus na yenyewe inazidi kunyauka hapa dar siku hadi siku na mnyaushaji mkuu ni EFM.
Mwakani craus itakuwa ya nje ya dar tu maarufu kama mikoani.

Hivi hii EFM ni ya nani mkuu!
 
By the end of this, tutakuwa na kina Le Mutuz zaidi ya ishirini humu Foramuni...!!
 
Hivi hii EFM ni ya nani mkuu!

Mtoto wa mama anayemiliki Maisha Club pale obey ndo mniliki wa efm. Bado ana safari ndefu sana ya kushndana na hao manyang'au wa burudani hapa bongo. Kwan kuna matajiri kibao wenye radio naona bado mananyanyasika sana mbele ya hao manyan'gau.

Radio kama Times, Magic na east africa radio fm zinamilikiwa na matajiri wakubwa sana hapa bongo zaidi ya huyo dogo mara 100 lakini bado zinalambishwa mchanga mbele ya hawa ma-don wa craaaaadzzzzz eeeffeeem..
 

Waache si wanajichulia kama mnyonge wakubali tu ukute ni mashabiki wao wana singizia clouds Jide alikua commando kweli
 
kumshabikia KIBA ni sawa na kuishabikia ARSENAL(ROHO MKONONI),wakati DIAMOND ni Madrid kwa bongo team ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…