Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

Clouds waacha kupiga nyimbo za Diamond

Mtoto wa mama anayemiliki Maisha Club pale obey ndo mniliki wa efm. Bado ana safari ndefu sana ya kushndana na hao manyang'au wa burudani hapa bongo. Kwan kuna matajiri kibao wenye radio naona bado mananyanyasika sana mbele ya hao manyan'gau.
Radio kama Times, Magic na east africa radio fm zinamilikiwa na matajiri wakubwa sana hapa bongo zaidi ya huyo dogo mara 100 lakini bado zinalambishwa mchanga mbele ya hawa ma-don wa craaaaadzzzzz eeeffeeem..

Hawajawekeza kwenye burudani hao wengine ndo tatizo na wanawabana wafanyakazi wao tofauti na claus
 
clouds wanatumia wasaani halafu baaaasi.kama tissue paper vile.(use and dump)
 
clouds wanatumia wasaani halafu baaaasi.kama tissue paper vile.(use and dump)

We ulitaka wafanyeje? huo ndo mfumo wa maisha kwa ujumla wake. Usipojitambua lazma utumike.

Utajiri wote wa dunia kumilikiwa na watu wachache ujue kuna masikini wengi wamenyonywa. Hiyo ni fomula ya utajiri wala sio kosa la clauz. Waliona fursa wakaitumia, kazi ni kwako wewe masikini kutafuta namna ya kutoka kwa kuwanyonya masikini wenzio.
 
We ulitaka wafanyeje? huo ndo mfumo wa maisha kwa ujumla wake. Usipojitambua lazma utumike.
Utajiri wote wa dunia kumilikiwa na watu wachache ujue kuna masikini wengi wamenyonywa. Hiyo ni fomula ya utajiri wala sio kosa la clauz. Waliona fursa wakaitumia, kazi ni kwako wewe masikini kutafuta namna ya kutoka kwa kuwanyonya masikini wenzio.

Asa kwanini wanampandisha kibakuli kwa lazma hata kama hatumtaki
 

Attachments

  • IMG_20141022_150220.jpg
    IMG_20141022_150220.jpg
    28 KB · Views: 192
Kwa propaganda hizi management ya Diamond imefanikiwa sana,sasa hivi nchi nzima inaongea kuhusu Diamond
 
Kwanini maoni ya waliozomea hayaheshimiwi jamani?
Hii ndiyo Tanzania bwana mtu hakosei kisa yuko juu mi nijuavyo ukizomewa unatakiwa ukune kichwa ujue uliwakosea wapi wateja wako uparekibishe na siyo kutafuta mchawi diamond yuko juu ana njuru za kutosha ajaribu kutoa hata pesa kidogo tu awape watafiti wa music wamwambie shida iko wapi.

Siyo kuhitimisha kwa kusema zilikodiwa coaster za kuleta watu wamzomee mfano moja ya sababu ya Kiba kushangiliwa ni watu walikuwa wamemiss shoo zake muda mrefu hajafanya shoo.
 
wewe ni me au ke?...................huu ni utafiti au umbea
 
Tangu nimeanza kusikia Clouds inakufa sijui huu mwaka wa ngapi

Toka enzi za akina Amina Chifu huo wimbo huwa hauchuji kwa ma-haters wao kuwa clouds inaenda kufa. Cha ajabu mpaka leo jamaa ndo wanazidi kutimua vumbi ujiji hadi mtwara, songea hadi mpanda, ngara hadi mtukula.... yaani ni sheedah....
 
A%20S%20109.gif
bhana eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh! nimechoka keleleeee mi nawakubali wote,
A%20S%20109.gif
sasa mnanisaidiaje
A%20S%20109.gif
 
acha majungu mbona jana tu walikuwa wanapiga mdogo mdogo!acha kudanganya umma wa jf.
 
Back
Top Bottom