Clouds TV yamzalilisha binti wa miaka 17

opaque uko right kabisa. mnake kama ni kumsaidia, wasingemruhusu kuonesha uso wake hata kama yeye mtoto mwenyewe angetaka. uyo mtoto yeye hajui madhara ya kua exposed, clouds walitakiwa kua wa kwanza kumprotect na hayo madhara ya kua exposed.
 
Kama wamefanya hivyo jamani wanaharakati embu mnusuruni huyo binti apate haki zake, maana wamemdhalilisha kwa udhaifu wake. Hizi media nyingine nazo zinabidi ziwe zinafanyika semina za kuwakumbusha hasa hawa wenye talk shows.

Mbona last week wanawake live waliweka clip ya mtoto na wakamficha sura ingawa na wao walifanya makosa maana hata hao wazazi wake hawakutakiwa kuonyeshwa. Sijui kwanini bongo tunavamia fani kwa pupa....... Jamani shule, shule, shule

Hivi ukimwamngalia huyo mtangazaji mwenyewe unamwonaje? yeye mwenyewe anaonekana kuwa chupu chupu angeluwa huko kwenye kujiuza, ndio maana wala hakuona tatizo kumdhalilisha huyo binti.
yako majinga jinga mengi sana kwenye fani ya unadishi wa habari.. especially hapo clouds.
 
Nahisi kama mmeona vizuri mi binafsi nawashukuru clouds
kumekuwa na wimbi zito la kuletewa machangudoa na kuambiwa ni ma hgirl wanatoka mbeya iringa moshi sasa kama yule unapigiwa simu yuko kituo cha basi unamkuta unamchukua utaacha kuwaacha na watoto zako huku shahawa kibao zimemwagikia na baya amekiri wazi ajatembea na condom sasa hii ni wazi muwe makini na kukimbilia ama kudanganywa kuna ma hgirl mhgirl wanatoka mikoani.....labda nikuwambie tu mi ni mpenzi sana wa samaki na firigisi pale afrika sana na bila mke wangu sijakanyaga hata kidogo hako katoto kana miaka 4 kako pale...huyo zamaradi alichofanywa ni kuingizwa chaka katokea sijui wapi kumbe ni maisha ya ueurope yamesmhinda kaamua kujiweka kwenye tv apate wasamaria wema ...nilikuw ana ma wife nikamwonyesha unamkumbuka huyu...tena awana adabu wakakikuona na mwanamke wanakaa pembeni yako sijui wanapima oil ya engine ama gearbox
muwe makini hao ndio mahgirl sasa jiulize watoto wenu mmewaacha na machangudoa majumbani wangapi???
 
This is too much embu niambieni kinarudiwa lini na saa ngapi niangalie, au mwenye nacho aturushie humu. Bongo kila kitu badoooooo

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.

Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa
Very True Suzie,nami niliangali hiki kipindi,kwa kweli walichofanya sio haki ,ni udhalilishaji wa kijinsia na kupotoka kwa maadili ya uandishi,Huyu Zamaradi naye sijui katumwa au ndio kuuza sura,yaani stori kama hiyo wanamdhalilisha binti wa watu,Tena namshangaa sana akiwa kama mwanamke ndio angetumia fursa hii kuona jinsi ya kumsaidia kwani jambo kama hilo laweza kumtokea hata yeye au hata ndugu yake.
 
Nahisi kama mmeona vizuri mi binafsi nawashukuru clouds
kumekuwa na wimbi zito la kuletewa machangudoa na kuambiwa ni ma hgirl wanatoka mbeya iringa moshi sasa kama yule unapigiwa simu yuko kituo cha basi unamkuta unamchukua utaacha kuwaacha na watoto zako huku shahawa kibao zimemwagikia na baya amekiri wazi ajatembea na condom sasa hii ni wazi muwe makini na kukimbilia ama kudanganywa kuna ma hgirl mhgirl wanatoka mikoani.....labda nikuwambie tu mi ni mpenzi sana wa samaki na firigisi pale afrika sana na bila mke wangu sijakanyaga hata kidogo hako katoto kana miaka 4 kako pale...huyo zamaradi alichofanywa ni kuingizwa chaka katokea sijui wapi kumbe ni maisha ya ueurope yamesmhinda kaamua kujiweka kwenye tv apate wasamaria wema ...nilikuw ana ma wife nikamwonyesha unamkumbuka huyu...tena awana adabu wakakikuona na mwanamke wanakaa pembeni yako sijui wanapima oil ya engine ama gearbox
muwe makini hao ndio mahgirl sasa jiulize watoto wenu mmewaacha na machangudoa majumbani wangapi???

Mkuu kumbe nae binti ni muongo? Dah... hii sasa kali...
 
Kwa wanaojua sheria, hakuna uwezekano wa huyu binti kuwashtaki hawa, kwa kumdhalilisha? Haiwezekani matatizo ya binti huyo mdogo wayatumie kuvutia watwazamaji.

Nafikiri asaidiwe jamani, embu wanasheria na viongozi wetu mliolivalia njuga suala la Lulu ifike mahali muwaone na wanyonge kama hawa
 
Hata kama ni vipi lakini hii sio sawa! Kwa kweli nilikuwa nimekaa na familia yangu nilikasirika sana. Yule mtangazaji kakazania ulifanya naye! Yeye alishafanya na wangapi? Mbona hasemi! Je kwa kumuonyesha hadharani wanapata nini zaidi ya kumharibia binti wa watu! Je hakuna sheria ya kuweza kuwashitaki hawa kwa kukosa maadili? Mi nafikiri hivi ni vituo vya tv na redio vya kukurupuka tu! Kwanza kama walitaka kumsaidia sio lazima hata watangaze ndo tujue! Wangapi wanasaidia na hata hatuwajui bana. They are just seeking for cheap popularity! Shame on them! na Sijui ndo Zamaradi!
 
Nahisi kama mmeona vizuri mi binafsi nawashukuru clouds
kumekuwa na wimbi zito la kuletewa machangudoa na kuambiwa ni ma hgirl wanatoka mbeya iringa moshi sasa kama yule unapigiwa simu yuko kituo cha basi unamkuta unamchukua utaacha kuwaacha na watoto zako huku shahawa kibao zimemwagikia na baya amekiri wazi ajatembea na condom sasa hii ni wazi muwe makini na kukimbilia ama kudanganywa kuna ma hgirl mhgirl wanatoka mikoani.....labda nikuwambie tu mi ni mpenzi sana wa samaki na firigisi pale afrika sana na bila mke wangu sijakanyaga hata kidogo hako katoto kana miaka 4 kako pale...huyo zamaradi alichofanywa ni kuingizwa chaka katokea sijui wapi kumbe ni maisha ya ueurope yamesmhinda kaamua kujiweka kwenye tv apate wasamaria wema ...nilikuw ana ma wife nikamwonyesha unamkumbuka huyu...tena awana adabu wakakikuona na mwanamke wanakaa pembeni yako sijui wanapima oil ya engine ama gearbox
muwe makini hao ndio mahgirl sasa jiulize watoto wenu mmewaacha na machangudoa majumbani wangapi???

Hata kama alikuwa anafanya hiyo kazi ya uchangu jibu linabakia palepale je alipaswa kuwa-exposed? Na pia wewe kaka tema mate chini shukuru Mungu mkeo au dada zako hawakuwa housegirls, na hao wanaowaleta maHG hapa mijini na kuwaachia wanaishia kuwa machangu ilihali wakielewa wale bado wengi wao ni watoto wanahitaji kuongozwa kama watoto au wadogo zao jamani
 
Nahisi kama mmeona vizuri mi binafsi nawashukuru clouds
kumekuwa na wimbi zito la kuletewa machangudoa na kuambiwa ni ma hgirl wanatoka mbeya iringa moshi sasa kama yule unapigiwa simu yuko kituo cha basi unamkuta unamchukua utaacha kuwaacha na watoto zako huku shahawa kibao zimemwagikia na baya amekiri wazi ajatembea na condom sasa hii ni wazi muwe makini na kukimbilia ama kudanganywa kuna ma hgirl mhgirl wanatoka mikoani.....labda nikuwambie tu mi ni mpenzi sana wa samaki na firigisi pale afrika sana na bila mke wangu sijakanyaga hata kidogo hako katoto kana miaka 4 kako pale...huyo zamaradi alichofanywa ni kuingizwa chaka katokea sijui wapi kumbe ni maisha ya ueurope yamesmhinda kaamua kujiweka kwenye tv apate wasamaria wema ...nilikuw ana ma wife nikamwonyesha unamkumbuka huyu...tena awana adabu wakakikuona na mwanamke wanakaa pembeni yako sijui wanapima oil ya engine ama gearbox
muwe makini hao ndio mahgirl sasa jiulize watoto wenu mmewaacha na machangudoa majumbani wangapi???

Nafikiri asaidiwe jamani, embu wanasheria na viongozi wetu mliolivalia njuga suala la Lulu ifike mahali muwaone na wanyonge kama hawa

Suzie hebu check hiyo post ya juu hapo kutoka kwa BASIASI.
 
Kiukweli niliumia sana kwani yule binti hajietambui pale alipo halafu clouds kama media walitakiwa wamsaidie sio kumfanyia unyama ule, kwangu mie nauita ni unyama kwani kimaadili walitakiwa wamzibe ama kama hawana hiyo technology basi wangemwonyesha tu mtangazaji then yule bint awe anazungumza kwa pembeni bila kuonyeshwa ama wangemgeuza wakamwonyesha mgongoni ama wangemfunika na khanga usoni kama mwali.

Kama humu jamvini kuna wanaharakati wajitokeze kwenda kumsaidie yule binti kwani clouds tv imemuaribia maisha yake yote ya mbeleni kwani hatoweza kufanikiwa kokote aendako kutimiza ndoto yake ya kufanikiwa kimaisha.

Pale alipo masikini hakajui kama amesha athirika ama lah! sasa akienda kupima hata kama hajaathirika tayari watu wataanza kumnyanyapa kutokana na yale matendo aliokuwa akifanyiwa kwa kulazimishwa.
 
Hawa jamaa na radio yao hawana maadili ni kukurupuka tu

...Mkuu hujui kwa nini? Hawa M.a.j.*.h.a wanaona kwa sababu wapo Close na Wana Mabwepande basi wanaona wanaweza kufanya chochote kile na lolote lile under the Bongoland Sun na hakuna yoyote anayeweza kufanya lolote!! Siku zao zinahesabika...!!
 
I saw it pia!na sio siri nilishangaa ni tv gani hnaweza kuonesha story ya vile bila kumficha sura muhusika!!yule binti kiukweli ni kwamba amedhalilika sana!sielewi hata atapita wapi asinyooshewe vidole!
 
Kwakweli hata mimi nilipo kuwa nikitazama kipind hicho, nilishikwa na butwaa, hakika sijui binti huyo ataficha wapi usowake?
 
Back
Top Bottom