Suzie
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 1,259
- 409
Nasikitika kusema kipindi cha leo cha take one kilichorushwa na clouds TV ni kipindi cha uzalilishaji kwani wamekiuka miiko kwa kumuonyesha live binti aliyekuwa anafanyishwa mapenzi bila idhini yake.
Kama wametaka maelezo ili iwe fundisho kwa wengine ni bora wangeificha sura yake kwa shades ili watu wasimtambue. Sijui hii media kama inafanya kazi zake ki-professional kwakweli. Wakuu embu nisaidieni maana nimeshikwa na butwaa macho kunitoka kama udagaa