Clouds TV 360, kila atachosema rais ni ndio mzee?

Clouds TV 360, kila atachosema rais ni ndio mzee?

Lini Tanzania Daima limewahi kuandika habari za kumkosoa Freeman Mbowe tangu kuanzishwa kwa gazeti hilo miaka zaidi ya 10 iliyopita?

Tanzania daima ina milikiwa na Mbowe, vp clouds nayo ina milikiwa na CCM au?
 
Hiyo ilikuwa ni moja ya habari kubwa,tena ndiyo iliyobeba gazeti hilo na mengineyo,achilia mbali kukusaidia,sijui habari zote zinazosomwa kama huwa zinakusaidiaa ama laa. hapo hoja ni namna walivyoamua kuwa wamapambio wa rais na kukwepaa ama kumtetea kwa habari inayomtatiza.
unajua kuwa gazeti la uhuru ndio linachambuliwa zaidi kuliko mengine.
Ikiwa gazeti linayo habari yake kubwa na Tv nayo inayo habari yake kubwa. Si kwasababu gazeti limeipa habari fulanani uzito wa juu na Tv pia ziipe uzito wa juu kwani nacho ni chombo cha habari kinavipaombele vyake.
 
Tv inaripot habari kutoka magazetini hasa zilibeba vichwa vya habari kwa siku hiyo,zile sio habari walizoandaa wao.
 
Tv inaripot habari kutoka magazetini hasa zilibeba vichwa vya habari kwa siku hiyo,zile sio habari walizoandaa wao.
Tv nazo zinazo sera zao. Kama kilichopewa uzito hakiendani na sera ya chombo husika hawana sababu ya kukisoma.
 
Back
Top Bottom