Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
- Thread starter
-
- #81
Kwani kiingilio kua elfu 3 ndo ishara kua maskini wanaingia ?
Dah Wewe ni mpumbavu naomba ujipige kifuani uku ukisema mimi ni mjinga sana nimetumia pesa ya mlezi wangu vibaya ehee Mungu nihurumie
Tafuta naira Marley soapyNitajie wimbo mmoja ambao Diamond ame duplicate kama ulivyo
Kwani vibaka sio watu,nyie kama hamtaki basi watu tunaenda kula burudanihumo watajaa vibaka subirini
Hamna kitu kipya kwenye music at a Michael jackson kawai IGATafuta naira Marley soapy
Hii ndio mbinu ya kukwepa cost kwa kujitia uzalendo nnya 😂😂😂Clouds FM walishakataa msanii kutoka Nje ndio maana wakisema 100Tanzania, hata sasa hawapigi nyimbo zozote za nje Ya Tanzania hadi Fiesta ipite tarehe 8/12/2019 wakiwa na kauli 100Tanzania
So Kuhusu msanii kutoka nje ya Tanzania Hiloo Toeni vichwani Mwenu Litabaki kuwa La Wasafi!
Mbona mna hasira sana,kuna kitu kinawauma labdaUnazungumziaje zile nyimbo za mr nice kikuku , kikulacho na nyimbo za kiba hadith akuweka vitu vya kuimba watoto?
Acha uzwazwa utimu unakupeleka pabaya wamepeleka tarehe 12 mwezi ujao wakijua fika watapiga promo la mwezi mzima kujaza uwanja ila nakwambi ukweli tu ubunifu hakuna apo
Yani mtu atoe buku tatu ana mke na watoto wanataka wakae mahala pao wewe umchanganye na watu asiowapenda
Ukosefu wa ubunifu yaani hakuna VIP wala nini
🤣🤣🤣🤣🤣 Fiesta imekuwa kama After school bash, tunapoelekea wataanza kugawa pipi na juisi ili mashabiki wawe wengi.Clouds wameishiwa ubunifu ruge kaondoka na ubunifu wake Hilo tamasha limekuwa Kama bonaza
Hahahaaaaaaaa haaaaaaHamna kitu kipya kwenye music at a Michael jackson kawai IGA
Hata huyo wiz ambaye watu wengi waliingia kwa ajili yake alikomea kuperfom nyimbo 2 tu akaachaJamaa utumie akili sometimes,kwan unaangalia show kwanza ndo unalipa,au unalipa kwanza ndo unaangalia show!!???
Watu walilipa laki lakini walichokutana nacho ni ushubwada mtupu..ukiondoa wizkid na tiwa kuna msanii gani mwingine wa maana aliye-perform wasafi ambaye hawezi kufanya fiesta
Wakijibu hili nitagDavido amwombe msaada domo..we umelewa nini!!!..Davido anafanya makolabo na akina Chris breeze huko majuu jamaa yenu kakazana kukopi na kupesti,anafanya kolabo na wakongoman
😂😂😂😂😂😂 wahuni wa keko na TMK wanapelekewa kitoweo.Wameamua kupeleka uwanja wa taifa! Je wamesahau kilichotokea mwaka elfu 2 pale taifa? Wamewasahau wahuni wa Temeke?
Temeke mitaa yote ya kule itatuwakilisha patajaaMhh taifa??
Wafanye kampeni mtaa kwa mtaa otherwise watajikuta robo uwanja
Sasa kama watu hatuna pesa unataka tufanyaje mkuu ?Uwanja wa taifa yaani kwa mchina? Daah vile viti vitabaki salama kweli?
Tafuta naira Marley soapy
Clouds ubunifu ni zero kaka , sasa chukua mfano waki haribu viti na kwasababu ya vibe nyasi bandia ziharibike wanalipia cost ya kurekebisha sijui nani kawashauli asee wamembwela sana dogo domo kawapagawishaUwanja wa taifa yaani kwa mchina? Daah vile viti vitabaki salama kweli?