Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,144
- 2,513
Diamond yupo sahihi kabisa kusema ivo,pia alisema"Njooni muige tena na hii"..Yaani it means kuna watu wa Clouds bado wanamfuatilia,sasa kama mtu hampigi ngoma zake wale stories zake bado mnamfatilia kwanini tena?Hasa Shilawadu.Japo sheria ni yako, ila siuachi msumeno/
Ukijikuna tako, using'ate kucha kwa meno/
Ile michambo ya diamond kwenye account yake ya IG kua hata wapunguze bei ya kiingilio iwe 500 lakini hawamuwezi.
Mbona hukufungua uzi kukemea?