Clouds mwacheni Diamond

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,575
18,893
Hivi karibuni nimeona kwenye baadhi ya vipindi vya Clouds vikirusha madongo na kumpiga majungu Diamond Platnumz.

Ushauri wangu: Clouds kama ngoma za Diamond hampigi kuna haja gani ya kumzungumzia kitu gani kinachowafanya mteseke na Diamond.

Mbona wasanii wengi tu hampigi ngoma zao lakini hamuwazungumzii, mfano Jide inakuwaje kwa Mondi? Achaneni na Mondi, Media kama yenu kushindana na mtu mmoja inaonesha jinsi gani Media yenu ilivyoshuka.
 
Sipo interested na bongoflavour coz mambo ni feki , kuchoshana ubongo tu nasikliza gospel sana .
 
Hivi karibuni nimeona kwenye baadhi ya vipindi vya Clouds vikirusha madongo na kumpiga majungu Diamond Platnumz.

Ushauri wangu: Clouds kama ngoma za Diamond hampigi kuna haja gani ya kumzungumzia kitu gani kinachowafanya mteseke na Diamond.

Mbona wasanii wengi tu hampigi ngoma zao lakini hamuwazungumzii, mfano Jide inakuwaje kwa Mondi? Achaneni na Mondi, Media kama yenu kushindana na mtu mmoja inaonesha jinsi gani Media yenu ilivyoshuka.
Clouds wanateseka sana na mafanikio ya diamond hasa kwenye media ,redio na tv kanunua vifaa vya kisasa zaidi ...vingine hata wao clouds

hawana ...walimtengeneza aslay amfunike diamond ikashindikana ,sasa hivi wanatumia alkiba ...lakini hata vumbi tu hawaoni kbs... Wamemtengenezea majungu mara domo

Yote hayo ya nini !! .....kama wao wanajiamini sinwajali yao## tu MAISHA YAENDELEE
 
Wasafi haijafikia hatua yakushindana na clouds hata robo na itaitajika muda ili kufikia lengo hilo na mnavyompa kichwa eti anawatia mawingu prsser dah! basi mondi anaona kweli kiuhalisia mond anatakiwa atulize akili akishindana kapotea sio kidogo kikweli....
 
Back
Top Bottom