mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,123
Hata hivyo Ruge kamhifadhi sana Daudi Bashite! Ameamua kupotezea suala la vijana wake kuchezea kichapo kutoka kwa askari waliomsindikiza Bashite! Amemwepusha na jinai ya ujambazi kwa mtutu wa bunduki!Usipotoshe watu..wote tumeona. Tusubiri huo uonevu kama upo.
Ulitaka Clouds waseme yule sio jamaa ktk CCTV?
Acheni uoga wa kijinga.
Ni sawa na mwanaume kweli ashikwe kalio halafu atulie.