Kwahiyo HAKI inatolewa pale tu wale unaowataka wanapokuwa wameshinda kesi....kwanini zisiaminike pale zinapotoa haki??....lazima ujue kuwa hata huko mahakamani kuna wanaochoshwa na udhalimu wa awamu hii....na inawabidi watoe tu haki hata kwa kuwa against mashinikizo ya watawala....udhalimu unaofanywa na awamu hii umekithiri....na unaudhi hata huko mahakamani...naona umesahau angalizo la majaji kwenye kesi mh.Lema...watu wamechoka...
Kwani ni nini maana ya kisasi kama anavyodai huyo jamaa kwamba kuna visasi ?Kwahiyo clouds walianza kwa kumvamia yeye sio?
Sio kwa serikari hii...aliyekwambia inatajwa 2020 ni nani??hujui sheria we...kinachocheleweshaga kesi huwa ni kukosekana kwa ushahidi tu...kwenye hili la bashite na uvamizi wa clouds ushahidi uko intact kwenye cctv camera....na pia ushahidi wa maneno umeshatolewa na wahusika kwenye vyombo vya habari...na haujapingwa....kesi icheleweje??...kwa utawala huu dhalimu njia pekee ya kudai haki ni mahakamani....hata kama itacheleweshwa lakini itapatikana....
Ndiyo maana mimi siamini huyo Ruge anapokataa kuwa hawakuchapwa halafu anaficha video hiyo tena baada ya kutoka polisi bila kusema huko polisi kama wamefungua jalada la upelelezi au kama ni yeye kashitakiwa au la. Ngoja tusubiri kama Gwajima anayo atatupa.Kweli maana kuna wengine wanasema shilawadu walichezea mitama japo Ruge kakataa nadhani kama ipo hiyo ndo inaonesha hali ilivyokuwepo kule ndani
Mimi nimejaribu kufafanua maana ya kisasi [ kuna mtu kasema hii ni serikali ya visasi ] then mimi nikamwambia kama ni hivyo basi hakuna mtu anayelipwa kisasi kama hakufanya chochoteUnavyoona hapo umejibu swali?
Sidhan kama alimkusudia Bashite mana bashite ni mtu na si mbwaMbwa mwenyewe si mwingine ni daudi bashite
Kweli yule harembiNdiyo maana mimi siamini huyo Ruge anapokataa kuwa hawakuchapwa halafu anaficha video hiyo tena baada ya kutoka polisi bila kusema huko polisi kama wamefungua jalada la upelelezi au kama ni yeye kashitakiwa au la. Ngoja tusubiri kama Gwajima anayo atatupa.
Sahivi DAR MPYA ihamie Efm tu..[emoji39]Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku na umbea ambao watanzania wameamua kuusambaza ktk mitandao ya kijamii. Clouds mjiandae kuvamiwa mara kwa mara na serikari kwasababu mmemgusa mwana mfalme hivyo mmetangaza vita na mfalme. Ukweli hautakiwi katika hii nchi na ukiwa kinyume na serikari hii ukae tayari kuandamwa, poleni sana na hongera kwa ujasiri mlioonesha nawatakia mapambano mema.
South
Walimlea wao japo nawapongeza kwa kuamua kuweka urafiki pembeniYaani clouds nawapa big up sasa hivi mchunieni hasa huyo bashite urafiki wa bunduki hapana labda wa wali na maharage kituo cheni halafu mtu awapangie msiwe na nidhamu ya woga mnajua mmehamgaika vipi kuijenga clouds
Hata hivyo Ruge kamhifadhi sana Daudi Bashite! Ameamua kupotezea suala la vijana wake kuchezea kichapo kutoka kwa askari waliomsindikiza Bsshite! Amemwepusha na jinai ya ujambazi kwa mtutu wa bunduki!