Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

Makonda alitakiwa atupe hata bomu hyo studio iteketee yote manake walizoea kuwa kasuku na kutudhihaki kwa muda mrefu sanaa,mlitakiwa mjue siasa ni nn et leo mnalalamika mnatafuta huruma kutoka kwetu na wakat anatumia studio hizo hizo kuwanyoosha wengine mliona raha sanaaa na misimu mnapigiwa mkajua mko dunia tofauti na tunayoishi,jifunzen kwa hili simamien misingi ya taaluma yenu.What goes around comes around
 
Wabadilike na wafanye kazi kwa taaluma zao. Hivi haya yangeanzaje pale Azam TV?! Nitajie rafiki zako ili nikwambie tabia yako
 
Naona wameungana na E fm kupambana na Makonda. Hii vita ni tamu sana.
Uku Ipp media kule E fm hapo kati clouds media.
Makonda achomoki.
Hao ni mabeki tu...ukiingia midfielder unakutana na NAPE NNAUYE,MUSUKUMA,BASHE NA NDUGAI UKIENDA WASHAMBULIAJI UNAWAKUTA GWAJIMA,MANGE KIMAMBI NA SHIGONGO
atachomokea wapi sasa.....
 
Jumatatu TRA wataanza kupitapita,clouds shikilieni msimamo

Huyu mtu hana mizizi yoyote kisiasa kiasi cha kuwatikisa,kama ipo ni ya mchicha
 
Hao ni mabeki tu...ukiingia midfielder unakutana na NAPE NNAUYE,MUSUKUMA,BASHE NA NDUGAI UKIENDA WASHAMBULIAJI UNAWAKUTA GWAJIMA,MANGE KIMAMBI NA SHIGONGO
atachomokea wapi sasa.....
Makonda chaliiiiiii
 
Nawambia Clouds si kila anayetoa chozi msibani huwa ameumizwa kweli na ule msiba bali wengine huwa wanalia kwa machozi ya furaha kuwa afadhari ametangulia kwani alikuwa na majivuno sana.
Mfano wangu unamaana kunawatu watakuja hapo kwa kutafuta Kiki na wengine ni kuendelea kukupa mawazo yasiyokuwa na busara yaani kuendelea kukupoteza ili yeye aendelee kupanda ktk ushindani mliyonao kibiashara
Kuweni makini wafiwa na msidanganyike na viliyovingi mnavyovisikia kwani vingine ni vya uongo sana na kuwachanganya zaidi.
 
Wakati Ruge akiwa studio asubuhi leo nilimsikia mtangazaji mmoja akitoa mfano wa msemo kuwa 'ukizoeana na mbwa atakufuata msikitini', sikuelewa alikuwa anamaanisha nini! Aliyesikia na kuelewa atupe mwanga.

Alimaanisha walizoeana na Daudi Bashite. U need more ufafanuzi?
 
Ndomana Mkulu katumia TBC leo, Clouds kimenuka... Kaz kweli kweli
Acha Creations i take control, Joseph Kusaga ameishi kama malaika kwa muda mrefu, sasa ni zamu yake kutanga tanga....acha asote milele!
 
Hao ni mabeki tu...ukiingia midfielder unakutana na NAPE NNAUYE,MUSUKUMA,BASHE NA NDUGAI UKIENDA WASHAMBULIAJI UNAWAKUTA GWAJIMA,MANGE KIMAMBI NA SHIGONGO
atachomokea wapi sasa.....
Shigongo muoga hawezi
 
Nawambia Clouds si kila anayetoa chozi msibani huwa ameumizwa kweli na ule msiba bali wengine huwa wanalia kwa machozi ya furaha kuwa afadhari ametangulia kwani alikuwa na majivuno sana.
Mfano wangu unamaana kunawatu watakuja hapo kwa kutafuta Kiki na wengine ni kuendelea kukupa mawazo yasiyokuwa na busara yaani kuendelea kukupoteza ili yeye aendelee kupanda ktk ushindani mliyonao kibiashara
Kuweni makini wafiwa na msidanganyike na viliyovingi mnavyovisikia kwani vingine ni vya uongo sana na kuwachanganya zaidi.
Kwahiyo unashauri waombe poo
 
Acha Creations i take control, Joseph Kusaga ameishi kama malaika kwa muda mrefu, sasa ni zamu yake kutanga tanga....acha asote milele!
Ni muda wa kuishi kama shetani sio
 
...pamoja na kwamba ni vema clouds wapite hapa ili wajitambue....bado wana nafasi nzuri ya kupata faida kwenye hili saga...na njia pekee ni kufungua kesi ya kuvamiwa na mkuu wa mkoa wakiwa kazini....ushahidi upo wazi kwenye cctv camera...hivyo ni rahisi kushinda kesi hata ya madai/jinai dhidi ya bashite....hii ndio njia pekee ya wao clouds kujiweka kwenye heshima dhidi ya watawala....

...wasipofanya hivi watakuja kujuta baadae...maana tayari kuna watangazaji walipigwa mitama na vitako vya bunduki na wale polisi lakini Ruge hakulisema hili...watu wanachapwaje wakiwa kazini alafu ionekane poa tu???
Baada ya kufungua kesi ? maisha yao yatakuwaje ww usiwadanganye Clouds wana madhambi yao makubwa sana Serikali na taasisi zake wanakaa kimya tu Manji si alikwenda na wanasheria 6 wengine kutoka UK centro lakini kwa sasa nadhani anajuta kwa maneno yake na kauli zake siku ile ya jumatano

Sasa usije shangaa Clouds wakaambiwa wanadaiwa kodi ya matamasha yote waliyokuwa wanafanya toka yalipoanza , pia kodi ya TRA kwni kwa Mwafrica kulipa kodi vizuri ni ngumu sana hv leo Ruge akiletewa invoice anadaiwa kodi bilion 20 unadhani atokufa kwa pressure??
 
Wakati Ruge akiwa studio asubuhi leo nilimsikia mtangazaji mmoja akitoa mfano wa msemo kuwa 'ukizoeana na mbwa atakufuata msikitini', sikuelewa alikuwa anamaanisha nini! Aliyesikia na kuelewa atupe mwanga.
Bashite, Ruge na Clouds... kuna mmojawapo ni Mbwa, mwenye mbwa na clouds ndio msikiti.
 
Kabisa! Unamkumbuka Yusuf Manji alianza hivyo hivyo, hapo ujue Creations zinamkataa milele!
Nakumbuka wacha na wao ugumu uliopo walizoea kujipendekeza na kubebwa
 
Baada ya kufungua kesi ? maisha yao yatakuwaje ww usiwadanganye Clouds wana madhambi yao makubwa sana Serikali na taasisi zake wanakaa kimya tu Manji si alikwenda na wanasheria 6 wengine kutoka UK centro lakini kwa sasa nadhani anajuta kwa maneno yake na kauli zake siku ile ya jumatano

Sasa usije shangaa Clouds wakaambiwa wanadaiwa kodi ya matamasha yote waliyokuwa wanafanya toka yalipoanza , pia kodi ya TRA kwni kwa Mwafrica kulipa kodi vizuri ni ngumu sana hv leo Ruge akiletewa invoice anadaiwa kodi bilion 20 unadhani atokufa kwa pressure??
Akufa kwa presha
 
pia wametumka na makonda na mkulu. au ndugu umesahau dsm mpya? hata hao ni wauza madawa?. akili za kushikiwa izo
Huyu kila aliyetofauti na mawazo yake ni muuza madawa ya kulevya
 
Baada ya kufungua kesi ? maisha yao yatakuwaje ww usiwadanganye Clouds wana madhambi yao makubwa sana Serikali na taasisi zake wanakaa kimya tu Manji si alikwenda na wanasheria 6 wengine kutoka UK centro lakini kwa sasa nadhani anajuta kwa maneno yake na kauli zake siku ile ya jumatano

Sasa usije shangaa Clouds wakaambiwa wanadaiwa kodi ya matamasha yote waliyokuwa wanafanya toka yalipoanza , pia kodi ya TRA kwni kwa Mwafrica kulipa kodi vizuri ni ngumu sana hv leo Ruge akiletewa invoice anadaiwa kodi bilion 20 unadhani atokufa kwa pressure??
Kuna kodi inaitwa "Assed Value" hapo ndio wakitaka kukuharibia wanachukulia point
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom