Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

Haitapita muda TRA wataagizwa kupeleka bill za madai Clouds, hata kama wanadaiwa Laki 5 itabidi itangazwe bila aibu, nafikiri muda wowote ule watabisha hodi
 
Malipo huwa ni hapahapa,clouds wqnavuna waliyopanda kwq muda mrefu,ila itawasaidia kurudisha imani kwa wasikilizaji waliyokuwa wamepoteza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom