Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

Enyi wanaume wa Dar pamoja na machadema onyesheni ubavu kwa kuandamana kumkataa mkuu wa mkoa. Tanzania hii mbabe wa vita ni Mange Kimambi peke yake nyie wengine chips yai tu. Ingekuwa watu mnajitambua saizi mngekuwa Manzese Argentina mnaelekea Jangwani then Ikulu
hongera kwa kukariri vituo[emoji12]
 
Kuna kodi inaitwa "Assed Value" hapo ndio wakitaka kukuharibia wanachukulia point
Hii serikari balaa kuna tetesi hotel ya familia ya Mange inapigwa mnada inadaiwa kodi
 
Kuna wakati fulani ili uweze kuwa huru na kuweza kujiamulia mambo yako mwenyewe.....inajitokeza PINDI UNAPOKWARUZANA NA RAFIKI YAKO.....

Baadhi ya wafanyakazi CLOUDS MEDIA wanajihisi kuwa HURU kwa kiasi fulani....

Kuna kumkubatia RAFIKI mzigo (kikwazo)..
 
Ukifuatlia vipindi vyao toka jana baada ya Ruge kuongelea lile swala naona kama wapo huru
 
Tuanze kuwachunguza hawa jamaa wa clouds media kama huwa wanalipa kodi halali ya serikali!
 
Enyi wanaume wa Dar pamoja na machadema onyesheni ubavu kwa kuandamana kumkataa mkuu wa mkoa. Tanzania hii mbabe wa vita ni Mange Kimambi peke yake nyie wengine chips yai tu. Ingekuwa watu mnajitambua saizi mngekuwa Manzese Argentina mnaelekea Jangwani then Ikulu
Anza ww mkuu ambatana na mange then ninafuata....[emoji23]
 
Tamaa ya fisi,clouds hawajui wamtii nani,nanani wasimtii.Kuna makundi mawili ndani ya ccm yamezalishwa Na sekeseke la Bashite.
Swala ni kusimamia misingi ya kazi yao kutoegemea upande flani wakiweza ktk hilo watazoeleka na kuwaweka huru pasipo kuingiliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom