Sidhani kama Makonda atafanya hivyo.Kuhusu kushitaki Ruge karuka ila anataka angalau waombwe msamaha
Iliyovuja ni ya reception wakiingia na kutoka. Ile ya ndani ya chumba walimoingia hawajaitoa!Video ilivuja kabla hata hawajatoa tamko
Kazi zake nyingi alifanyia hapo clouds maana promo nyingi zimetoka hapo unaambiwa siku nyingine unakuta kawahi asubuhi tena na ndala utadhani na ye kuna daftari ana sainiKitu ambacho sikuelewa kwamba jamaa alikuwa rafiki yao akishinda hapo clouds. Mkuu wa mkoa anatoa wapi muda wakushinda kwenye ofisi za clouds akipiga porojo ana mambo ya kufanya?
Kweli maana kuna wengine wanasema shilawadu walichezea mitama japo Ruge kakataa nadhani kama ipo hiyo ndo inaonesha hali ilivyokuwepo kule ndaniIliyovuja ni ya reception wakiingia na kutoka. Ile ya ndani ya chumba walimoingia hawajaitoa!
Game ni pale watakapoenda kuomba Kibali cha kufanya Matamasha ( Ulinzi )Pia sidhani maana kapata nguvu baada ya mkulu kumhakikishia hasikilizi udaku
Jibwa [emoji57]Mbwa mwenyewe si mwingine ni daudi bashite
Clouds wameshafika kwenye "peak" i guessTamasha la Fiesta na matamasha yao yanakwenda kuzikwa rasmi pia wajiandae kwa ugeni wa TRA juu ya kodi waliokuwa wanalipa kwenye matamasha yao pia kamati ya maudhui ya TCRA watakuwa wageni wao na kipindi chao cha shilawadu ndio mwisho kwani kinakiuka misingi na maadili pia XXL iko njiani kufutwa au kufungiwa
Ruge nakuonea huruma sana unakubali prince kuitwa mbwa na mtangazaji wa 360 ?? muda utaongea lakini naona ktk vita hv Clouds itakwenda kuumia zaidi ya Makonda kwani Hata mseme nini aliyemchagua ndie anayemtetea kwa jambo lolote
Magu hana rafiki labda Mkapa, Ukizingua dk 0 tu anakupotezaKitu ambacho sikuelewa kwamba jamaa alikuwa rafiki yao akishinda hapo clouds. Mkuu wa mkoa anatoa wapi muda wakushinda kwenye ofisi za clouds akipiga porojo ana mambo ya kufanya?
Waombe Mungu asiwe amekremu siri zao walizopeana wakiwa marafiki.Mbwa mwenyewe si mwingine ni daudi bashite
Sasa Dar mpya itakuwaje bila clouds mastermindsMengi hategemei MATAMASHA kuingiza pesa na kumbuka matamasha yanategemea BACK UP YA SERIKALI 100%