Clouds mjiandae kupita katika kipindi kigumu

Bila kuweka hadharani video za kilichotokea kwenye chumba cha matangazo wataendelea kudharauliwa tu na hao kina Bashite. wanaficha nini?!
Video ilivuja kabla hata hawajatoa tamko
 
Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku na umbea ambao watanzania wameamua kuusambaza ktk mitandao ya kijamii. Clouds mjiandae kuvamiwa mara kwa mara na serikari kwasababu mmemgusa mwana mfalme hivyo mmetangaza vita na mfalme. Ukweli hautakiwi katika hii nchi na ukiwa kinyume na serikari hii ukae tayari kuandamwa, poleni sana na hongera kwa ujasiri mlioonesha nawatakia mapambano mema.

South
hawa jamaa (Clouds) walivyotusulubu Watanzania kwa kushirikiana na genge la kijani kwa miaka yote hii, mimi siwaonei huruma hata chembe. wacha wapate kibano tu.

pay back time! what goes around....
 
Kwa hali hii tunayoendelea nayo itabidi tumpe Tundu Lisu vyeo vyote,apewe hata ukurugenzi wa clouds katika kipindi hiki 'kigumu cha mpito'.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] hayo masihara sasa
 
Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku na umbea ambao watanzania wameamua kuusambaza ktk mitandao ya kijamii. Clouds mjiandae kuvamiwa mara kwa mara na serikari kwasababu mmemgusa mwana mfalme hivyo mmetangaza vita na mfalme. Ukweli hautakiwi katika hii nchi na ukiwa kinyume na serikari hii ukae tayari kuandamwa, poleni sana na hongera kwa ujasiri mlioonesha nawatakia mapambano mema.

South
Usipotoshe watu..wote tumeona. Tusubiri huo uonevu kama upo.

Ulitaka Clouds waseme yule sio jamaa ktk CCTV?
Acheni uoga wa kijinga.
Ni sawa na mwanaume kweli ashikwe kalio halafu atulie.
 
HAWANA UJASIRI WOWOTE, HAWA WAMEROPOKA KABLA YA RAIS KUTOA TAMKO, SASA WATAISOMA NAMBA!!!
Kwa hiyo wewe hujui nani karopoka kati ya clouds na baba Jesca?

Utaisoma namba wewe usiyeamini ktk ukweli wa chombo huru cha habari
 
Endelea na porojo zako kwa kujiliwaza na vifalsafa uchwara

....Call it porojo or vifalsafa uchwara it still doesn't change the fact kwamba if don't ask you will never get it!!
 
Wakati Ruge akiwa studio asubuhi leo nilimsikia mtangazaji mmoja akitoa mfano wa msemo kuwa 'ukizoeana na mbwa atakufuata msikitini', sikuelewa alikuwa anamaanisha nini! Aliyesikia na kuelewa atupe mwanga.
Amemaanisha waache kujipendekeza kwenye ligavamente,na huyo alikuwa pia anatamani kupata nafasi ya uongozi huyo DRUM
 
Clouds tumie wanasheria kesi hii muombe hela kwa kuwa huyo mwizi wa cheti anazo Hela za wana home shopping waliokuja kivingine. Where is the fair Equilibrium? Nimeumia sana kama mzalendo wa nchi hii.
 
Hakuna jambo rahisi mwanzo mpaka mwisho,hamtakuwa wageni kupitia magumu,muhimu ni kuwa makini kwenye kuchagua upande wa kushabikia.
 
Kuhusu kushitaki Ruge karuka ila anataka angalau waombwe msamaha
 
Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku na umbea ambao watanzania wameamua kuusambaza ktk mitandao ya kijamii. Clouds mjiandae kuvamiwa mara kwa mara na serikari kwasababu mmemgusa mwana mfalme hivyo mmetangaza vita na mfalme. Ukweli hautakiwi katika hii nchi na ukiwa kinyume na serikari hii ukae tayari kuandamwa, poleni sana na hongera kwa ujasiri mlioonesha nawatakia mapambano mema.

South

Bashite anajisahaulisha kuwa hii serikali haiwezi kukaa madarakani milele.
 
Wanajiingiza biff la Ruge/Clouds na Makonda na kusahau maisha yao. Siku yoyote wakipigwa chini hapo Clouds wanabaki wanatapa tapa
Bashite hakumvamia Ruge bali kituo kilicho chini yake na wafanyakazi wake hivyo wana haki ya kupigana kwa umoja
 
Hakuna jambo rahisi mwanzo mpaka mwisho,hamtakuwa wageni kupitia magumu,muhimu ni kuwa makini kwenye kuchagua upande wa kushabikia.
Mkuu elimu waliyopewa hapa ni kwamba chombo cha habari hakitakiwi kuegemea upande wowote maana wanagusa pande zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom