Tuma basi japo kapicha ka hilo tusi mkuu!Subiri wasio na midomo ya Ashakum watalisema, Kwangu mimi kulitamka dhambi kubwa.
Kivp mkuuHivi lara 1 bado anaendeleza kampeni yake against Diamond? Naona anaweza kupata ammunition ya ziada hapa!
Burned????Kwani mond si ndiyo alikua kimbele mbele wa kuimba nyimbo za kuisifia ccm?
Alalamike tu na wataisoma kweli.
Halafu na hao clouds watapigwa burned sasa hivi.

Acha wakazwe tu maana hakuna namna yoyoteNilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Amekula za usoDiamond alibadilisha nyimbo yake ya my number 1 ikawa my CCM is number 1.
His number 1 amemtenda.
Haaah wakazwe tena?Acha wakazwe tu maana hakuna namna yoyote
mifano huwa ina reflect mambo ambayo muhusika huyapitia.Sasa hapo cha ajabu nini kama kakazwa kweli sisi tutajuaje
Mkuu nimeona post uliyoninukuu japo umenidhalilisha ila naheshimu mawazo yako....Hivi lara 1 bado anaendeleza kampeni yake against Diamond? Naona anaweza kupata ammunition ya ziada hapa!
Nimekudhalilisha au umejidhalilisha? Unaliza huoni cha ajabu mwanaume kukazwa? Put it the way you want we all know what he meant.Mkuu nimeona post uliyoninukuu japo umenidhalilisha ila naheshimu mawazo yako....
Kuna msemo wa kuzungu unasema "nothing is good or bad but your thinking makes it so"
Ilo neno kukazwa pengine halina maana iyo kwa anavyomaanisha yeye labda anamaanisha 'kunyonywa' kibiashara you never know
[HASHTAG]#keepflyingdiamondplatnumz[/HASHTAG]
Msigwa na Diamond ni watu tofauti....influence zao tofauti...na reaction ya serikali ni tofauti kwa watu hao [HASHTAG]#RulesOfPower[/HASHTAG]Kumbuka ITV walipigwa fine wakati msigwa yuko live
ayo mambo nchi za wazungu huko, bongo hamnaga hizo.Kauli mbaya kwa image yake mwenyewe
makampuni kama vodacom yanaweza kum drop aanze kulia
Nimekudhalilisha au umejidhalilisha? Unaliza huoni cha ajabu mwanaume kukazwa? Put it the way you want we all know what he meant.