Clouds hamkomi? Diamond atawaponza

Clouds hamkomi? Diamond atawaponza

Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Ndio maana nawambia kiba n mkali kuliko huyu dogo, kabika hawezi kutamka maneno ya mtoto wa form two anaesumbuliwa na barehe, uyu mondi hajakua bado.. kwaninia asijigunze kwa kaka yake aliefanikiwa kimaisha ali k, unadhan SONY wanaeza kumpa kazi mtu kama uyu, labda hao hao wauza chips mayai, pili pili kachumbali na tomato sosi...
 
Chief usijaribu kumkosoa Simba hasa jukwaa hili maana watakuvamia,hapa Tz mashabiki wa Wema Sepetu na Simba wana akili zinazofanana wengi walistahili kua Dodoma ila majengo hayatoshi.

Mkuu akihamia dom,magogoni itakuwa campus
 
Itakua kajeruhiwa sana na matajiri mpaka kapata hasira,naomba tuliache uyu kijana ni msanii bora kuwai kutokea duniani na hilo neno "Kukazwa" lijumuishwe kwenye kamusi yetu haraka sana msimkoroge Simba atahamia SA.
Ha ha haaaaaaaaaaaa,kwa kuongeza mkuu na pia simba wanajulikana kwa hasira sio tuu kuhamia S.A pia angeweza kung'oa viti pale studio aiseee.....Ila mtoto wa kiume akasemaje labda amekazwa kama hajakazwa? ??Wazee wa zamani walikuwa wanasema maneno huumba douh!!!!!
 
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
inawezekana akawa siriziki?.

maana kwa mwanaume rijari kutamka au kujifananisha kihivyo daaa inaleta shida kidogo inawezekana ashawahi lambishwa
 
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?

Abeeee
 
Nafikiri huyu Nasibu anaanza kukosa adabu. Katika mahojiano ilifikia mahali akatishia kuingia 'Upinzani'.
TRA inaelekea wametathmini mali zake ili kupata kodi na hili limemwudhi..
Thamani ya mali alizonazo - Mapato - Kodi.
Hapa lazima atadata..
 
Pole sana
Kama anakazwa????
Huyu dogo ana pumba sana
Tulikuambia we know where you have been,
Tulia Bwana Mdogo hizi show off zako ndiyo zinaleta Matatizo, No one wish you good except yo mum, Tulia!
Bado hujajitambua, Ukijitambua utafika mbali sana.
Ukikutana na Kodi utakimbia nchi.....
 
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Aisee kumkaza so tajiri uyo ni wa kiume aliyekua anamaanisha au
 
Subiri wasio na midomo ya Ashakum watalisema, Kwangu mimi kulitamka dhambi kubwa.
... Kwa nini sasa umeanzisha uzi kama huwezi kutueleza hata kwa tafsida amesema nini?
 
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Hawa ndio Wasanii wetu bwanaa... Jana alikuwa anapigiwa promo eti kwa nini hakualikwa Ikulu badala ya Christian Bella.... So sad...
 
Ila kukazwa sio ajabu maana hawa wanamuziki kuna baadhi hawaeleweki kama yule wa vidimpoz na kuna wengine wamebebeshwa ngada kipindi kile sasa ukibeba ngada si unakuwa kama unakazwa tu maana mzigo unapokuwa unatolewa ile sehemu inakuwa mali ya umma
 
Back
Top Bottom