Clouds hamkomi? Diamond atawaponza

Clouds hamkomi? Diamond atawaponza

Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli.

Ila kakosea kwa kutoa lugha chafu ambayo haikustahili kurushwa hewani na kwa umaarufu wake hakustahili kuitamka. Cha ajabu kina Gardner na wenzake wanacheka. Huyo mtu atawaponza kwa TCRA.

thread ya kibwege!' kama ulikua huwezi kutaja hilo tusi; ungetuliza mshono tu usiandike hii thread ...........
 
Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli.

Ila kakosea kwa kutoa lugha chafu ambayo haikustahili kurushwa hewani na kwa umaarufu wake hakustahili kuitamka. Cha ajabu kina Gardner na wenzake wanacheka. Huyo mtu atawaponza kwa TCRA.
Usitegemee serikali itarudi na jibu la hasira kwa diamond....mwanasiasa anayejua siasa anatambua ni rahisi kwa mwanamuziki mwenye influence kubadili akili za walio wengi kuliko mwanasiasa kufanya hivyo....!!! Hata 2013 ht kabla ya uchaguzi ashawahi lalamika hilo ila wakati wa uchaguzi mwaka huu bosi wake alisema jambo limeshashugulikiwa baada ya ukawa kuanza kutumia post yake kwa faida za kisiasa....tegemea atanyamanzishwa bila ht ya sisi raia kujua kinachoendelea!!! NB: Mlezi wa wcb Paul Makonda (ana sababu ya kuwa pale zaidi ya ulezi.., rejea kuyeyuka kwa show ya oct 1 na kupigiwa debe kwa upandaji miti oct 1)
 
Moja ya kauli zake kwenye hii interview ni 'hatutaki kuhamia vyama vingine kwasababu tunaona hiki kina......' Yaani ni kama anatishia wakimbana atahamia upunzani. Kazi ipo.
 
Wanasiasa wote wanafahamu nguvu ya wasanii kwenye ushawishi...usidhani hapa kina nape hawawazi watamtuliza vp....!!! inawezekana kilichomkera sio kudhulumiwa au serikali kutowajali bali ni kukatwa kodi
 
For real diamond ameongea kwa uchungu sana f coarse siwez mlaumu kwa maneno aliyoongea kwan anaonesha ni kiasi gan anadhulumiwa na kaongea on behalf f other artists
Alienda mbal sana mpaka kutishia kukihama chama
Kama msanii,tena mwenye hadhi ya Diamond, lazima uchague maneno ya kuongea. Hata kama umekasirishwa vipi ukikosea kuwasilisha ujumbe kuna madhara makubwa sana, ni afadhali akae kimya.
 
Wanasiasa wote wanafahamu nguvu ya wasanii kwenye ushawishi...usidhani hapa kina nape hawawazi watamtuliza vp....!!! inawezekana kilichomkera sio kudhulumiwa au serikali kutowajali bali ni kukatwa kodi
Kilichomkera kiko wazi ni kodi ndio maana akatoa hio kauli. Bahati mbaya serikali hii kila mtu ataisoma namba hata wale waliotunga mapambio.
 
Kukazwa ni kuingiliwa kinyume na maumbile (kufilw) au alimaanisha nn
 
Hahaha
Magu ana wanyoooshaa

Ila serikali ya saa hzi ki ukweli ina tatizo, haiwezekani ikusanye kodi halafi haitoi huduma za msingi
Huo ni usenge......nyaji sasa
 
Aungane na sisi wenzie tunaokamuliwa kodi zisizo na kichwa wala miguu..ila Diamond walimshauri toka muda mrefu kuwa TZ hi hata kama unapata fedha wewe hata ukiulizwa wambie mambo magumu usitajetaje kiasi cha fedha ulichonacho ndomana hata sisi wafanyabiashara/wajasiliamali hata tuingize hela kiasi gani tutakwambia mambo hayajakaa sawa lakini target yako unakuwa unajua..ila kwa vile alishajionyesha kuwa anaingiza nyingi lazima atalipa kodi tu hata akilialia japo zinaumiza sana
 
Huyu Mondi kwanza katumia tafsida kutamka neno hilo afu neno lenyew la kihuni cdhan kama kwne kamusi ya kisw lipo na linamaana aliyoikusudia! Kwa hivyo cion kama anakosa kwa serikali.
 
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Duh mwenye sauti atuwekee puliziiii
 
Nilikuwa nasikiliza hicho kipindi. Ni live ulitegemea watangazaji wange-guess Diamond atasema nini? Kusema ukweli huyu dogo kanishangaza sana. Unaweza vipi kutoa kauli kama hii?! Ndo kulewa sifa eti anaiambia serikali 'UTADAI VIPI KODI KWENYE HELA NILIYOPEWA NA TAJIRI, KAMA KANIKAZA JE?' Seriously?
Ukweli waga mchungu
 
Back
Top Bottom