Kusaga ana ndugu zake wako Marekani nafikiri ndio huwa wanakopi vitu kutoka huko na kumleteaHao wazushi wameiga hata kauli mbiu yao. Eti wanajiita "The People's Station". Hii wameiga kutoka kwenye vituo vya redio vya Marekani hususan Atlanta's V-103. Hebu cheki hii Atlanta, Urban, Rap, Hip Hop, R&B, Black Hollywood - V-103 - The People's Station
pale hakuna ubongo wa kufikiri
watu wneyewe kibonde, pj kayanda etc mazezeta shule yao ya kuungaunga hawawezi kuangaisha kichwa
kwani hao wa nje hawawezi kukopi clouds ?
kwani hao wa nje hawawezi kukopi clouds ?
Oooh, c'mon people! What happened to the word 'inspiration'??
Jamii mbalimbali duniani zinazungukwa na mambo mbalimbali yanayofanana. Majina ya miji, watu, vitu, hata vipindi kuna pahala yatafanana kutokana na jamii hizo kuongelea au kukabiriwa na vitu hivyo hivyo.
Majina ya vipindi hata station vikifanana, si dhambi jamani. In fact, pahala pengine unakuta hakuna alternative ya kuita kipindi au station jina tofauti na station ya nchi jirani. As long as content ya kipindi inakuwa original na ina reflect maisha locally, sioni kikwazo kipo wapi.
Whatever happened to "creativity"?
Creativity sets you apart from the bunch and it helps in establishing your own identity. Clouds FM flunks badly in this realm.
Huoni wazee wanaoiga vijana............... Hebu mchecki Mzee Zahir ZoroAtlanta's V-103 has been in business long before two thirds of Clouds FM personalities' were born. So go figure….
Yes, I agree to being creative and setting oneself apart, hence my notion above of being original, even more important is the need to reflect the situation on the ground in whatever you choose to deliver to your audience.
My argument above is based on sentiments in this thread that, in order for one to have a TV/Radio program, they would need to scour the world over ili kutokuonekana wamekopi jina. Something noble but more or less impracticable.
Hata kenya ana ndugu zake.......
Steve ma dude, why bootleg even a slogan? What does that say about you? To me that is obvious. It is obvious that you ain't got no creative juices.
It is okay to look around for ideas and shit. But just do that and then come up with your own shit. Not lift the whole slogan verbatim. Come on son!!!
Huoni wazee wanaoiga vijana............... Hebu mchecki Mzee Zahir Zoro
Tujadili mada iliyopo, hii ya huyu babu ianzishie thread!Mbona umetumia mfano mbaya wa kuiga? Mbona eti huyo babu ni bwabwa?