Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

Status
Not open for further replies.
Ngoja tuwashitaki kwa wahisani uone kama watatoka!!!!!!!!
 
kama bunge linataka kufanya mapenzi sawa .... lakini kama linajadili mustakabali wa nchi hii hatuna budi kuziona hoja na sio hisani...
 
Jamani hamieni Redio zingine kuna redio zenye habari neutral kama magic,92.95 FM na Wapo 98.10 FM. Hawa wapo redio ni wazuri sana kwa matukio asubuhi na jioni. Magic nao wazuri asubuhi kwa akina kibwana dachi (mpaka rangi). Ila pia East Africa nao pia wana kipindi cha akina Zembwera ni wazuri.

Clouds ni sister redio ya UHURU siku hizi, utashangaa PJ anag'ag'ana kusoma eti gazeti la UHURU kwenye kipindi cha magazeti.

Hando siyo magamba ila njaa mbaya tu nadhani siku magamba wakitoka madarakani atatuomba msamaha, ila PJ hapana!
 
so, bunge-rais ndio mwamuzi wa bunge lionyeshwe ama la

Rais ni sehemu ya bunge ijapokuwa ana uwezo wa kuvunja bunge na anakamilisha utaratibu wa kisheria kwa kusaini miswada iwe sheria.
Kama umefuatilia bunge hivi karibuni utaona kuwa hoja nyingi zilizoibuliwa na upinzani zilikuwa zinainyong'onyeza serikali..
Hii haiwezi kuwa dalili njema kwa serikali machoni pa wananchi.
Kwa 'response' iliyochukuliwa 'you can easily read between the lines..'
 
sijui huwa wanawakilisha mawazo yao au ya watanzania

mi naona mara nyingi wale wanaongea kwa kujifurahisha wao tu na mabosi wao si kwaajili ya watanzania,

Kama kuna dhambi nyingine kubwa Makinda na makinda yake wanataka kuifanya ni hii ya kuzuia Bunge lisionyeshwe LIVE hapa tutaandamana.

hao wabunge wanaofanya ujinga bungeni si waachwe uchaguzi ukifika watavuna walichopanda.. watanzania ni waelewa wanajua pale bungeni nani anafanya mzaha na nani wako serious.
 
Jaman huyo kibonde ni mgonjwa wa siku nyingi tu na hana uwezo wa kufikiri kabisa,,,Puppet
 
Wakuu yaani ina maana mnapoteza muda wenu kwa vitu visivyomaana, wale jamaa si watangazaji ni waropokaji. Hivi mnamfahamu PJ, they sucks!!! Ni mtuanayeshindabaa weekends akiomba kununuliwa bia, kuna jamaa yangu bongo alinionyesha nikachoka kabisaaa... so never waste time with such loosers...
 
Jamani kila mtu ana uhuru wakuongea na kusema MAWAZO yake anayo ona kuwa ni SAHIHI ili mradi ASIVUNJE SHERIA na utaratibu uliowekwa na NCHI husika.......

sioni kama kuwa shambulia hawa watu kuna maana yeyote kwasababu wao hicho ndicho walicho kiona kuwa ni SAHIHI...

1.Kibonde, yeye na mwenzie huwa wanafikiri kwamba kuongea mambo yao na rafiki zao ni kuongeza umaarufu wao,labda na wa kipindi,kumbe kufanya hivyo ni kupoteza mashabiki na kutengeneza CHUKI baina ya watu wa matabaka mbalimbali....
 
G. Hando alikuwa mpima mafuta shell na form six tu asubuhi anakuwa na pombe ni mlevi sana pamoja na PJ

Kibonde ni kada wa chama tangu zamani sanaaaaaaaa amefanya kazi radio uhuru, kweli sikuizi sina muda kabisa kusikiliza vipind vywa vimepoteza kabisa na kiburi za radio hii kina amini kuwa saf kwa matangazo meng ya 10%

Nashauri asb sikilizeni magic fm iko poa sana jamaa wana balance sana story. bas jion sikiliza radio one wako poa nao....
 
Wasipoonyesha bunge live wananchi tususie kuangalia vipindi vyote vya TBC.hao clouds tatizo ni redio ya manji ndio maana swala linalo husu CCM na yanga wakina kibonde nahao Jp na Hando husifia hata kama ni upuuzi.
 
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama NJAA,Njaa ni mbaya sana jamani!!!
 
Wafu fm!..

Yaaani wale ni pumba tu.

Hebu ngoja nichek library yangu niwatupie dude moja la vinega,naona wameharibu muziki na sasa

wanataka waanze kutajirika kwa ushabiki wa siasa.

To hell wafu fm.
 
......na siku ikitokea jiji la Dar likawa na gesi, na gesi hiyo serikali ikaamua ipelekwe mkoa mwingine kwa bomba...sisi wakazi wa Dar katika maandamano yetu ya kupinga hilo bomba......na katika choma choma (kama Mtwara).....hakika kituo cha redio cha Clouds.......ni chakukichoma moto chote!
 
radio ya wafu,watangazaji vilaza unasikiza ya nini?
bora usikilize radio makini kama Times FM,au za dini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom