Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Sijaamka. Hangover balaaLol! Mliotukuka hamna matatizo. Umeamkaje lakini?
Sijaamka. Hangover balaaLol! Mliotukuka hamna matatizo. Umeamkaje lakini?
Ungekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.
Hahahaah nimekusoma kaka mkubwaUmekosea Kabisa Mkuu Na Kama Ni Safari Basi Sisi Tunaelekea Kigoma Wewe Unataka Kutupeleka " Kisiju " Naona Mnazidi Tu Kupata Shida Hivyo Ngoja Niwafumbieni Tena Na Kama Hapa Msipoelewa au Kung'amua Kitu Basi Hakika Sasa Mtakuwa Ni MAPOPOMA Kweli Na Msinisumbue Tena Kuniuliza Sawa? Tafuteni Gari Zote Za Ubalozini Kisha Angalieni Zile Herufu Zake Za Katikati Ambazo Huwa Ni Mbili Tu Kisha Ongeza Mbele Namba Nne ( 4 ) Halafu " Jiongezeni ". Sitaki Tena Swali Juu Ya Maana Ya " Dally Kimoko " Ukiweza Kulifumbua Hilo FUMBO TAKATIFU Hapo Wewe " JINIASI " Na Tutakuwa Pamoja.
nakubaliana na wewe clauds habari zao zote ni goal.com....ukisoma kule tuuu wala huna haja ya huku...Jeff Lea kashasepa yupo azam, clouds hamna kitu ktk uchambuzi kazi kubeba vitu goal.com kule e.FM maestro yupo vizuri na yule Oscar Oscar ni hatari kwny michezo wamepigwa gap clouds
mmmmmh nashaka kidogo ruge kutoka na dina sio kweli dina alikua anatoka na sebastian ndege mpk ndo kazaa nae nashindwa kuamian at a tym alitoka nao wote big no.....Uwepo Wa Ibrahim Masoud " Maestro " Na Mwenzie Dina Marios Huko E FM Ndiyo KICHOCHEO Kikubwa Cha Yote Haya Kwani WATANGAZAJI Hawa HAWAJAONDOKA Vizuri Clouds Media Group Huku Maestro Akiendeleza CHUKI Zake ALIZOKUWA NAZO DHIDI YA Mbwiga Mbwiguke Na Mtangazaji Mwenzie Shaffi Dauda Huku Mwanadada Dina Akiendeleza Chuki Zake Kwa Bosi Na Hawara Yake ( Bosi KIWEMBE ) Juu Ya KUMTHAMINI Sana Mwanadada Mbau Mbau Wa KIHA Aliyeonekana KUMSHIKA Vilivyo Bosi KIWEMBE Na Sasa Kamzalia Mtoto Wa Pili Hadi Bosi KIWEMBE Sasa Anakaribia Kumuachia MAJUKUMU Mengine Mrembo Mtangazaji " Mbau Mbau ". Hii VITA SI YA KITOTO Na Ni Bonge La FILAMU!
mwiba mchicha namjua ebu ni uyo dally kimoko mkuuIli Uone Kwamba BIFU Hili Sasa Linaelekea Pabaya Hawa WATANGAZAJI Wote Wakiwa Off Air Hupigana Madongo Ya UKWELI UKWELI Kwa Mfano Upande Mmoja Unaushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni " MWIBA MCHICHA " Huku Upande Wa Pili Nao Ukiushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni Mpigaji Maarufu Wa Gitaa La Solo La " Dally Kimoko ".
Huyo jamaa huwa ni muongo wa kutupwa....na kukusaidia tu mkuu hapo kwa Zamaradi na Dina Marios umechemka vibaya.. Ukweli ni kwamba Dina Marios amezaa na Rubein Ndege a.k.a Ncha Kali so hiki ulichokiandika ni kule kuonyesha kuwa unajua kila kitu wakati vingine sivyo
Hahaaaa...mzee nani?clouds walikuwa wanabebwa na rweyemamu wa magogoni sahivi dili lmeenda sahara media(rock city) waliompromote mzee wa majipu
off air ulisikiaje mkuuIli Uone Kwamba BIFU Hili Sasa Linaelekea Pabaya Hawa WATANGAZAJI Wote Wakiwa Off Air Hupigana Madongo Ya UKWELI UKWELI Kwa Mfano Upande Mmoja Unaushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni " MWIBA MCHICHA " Huku Upande Wa Pili Nao Ukiushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni Mpigaji Maarufu Wa Gitaa La Solo La " Dally Kimoko ".
VP kuhusu dina na ncha Kali nlckia wanamahuciano. Una nchanganya na hii tarifa ya boss kiwembeUwepo Wa Ibrahim Masoud " Maestro " Na Mwenzie Dina Marios Huko E FM Ndiyo KICHOCHEO Kikubwa Cha Yote Haya Kwani WATANGAZAJI Hawa HAWAJAONDOKA Vizuri Clouds Media Group Huku Maestro Akiendeleza CHUKI Zake ALIZOKUWA NAZO DHIDI YA Mbwiga Mbwiguke Na Mtangazaji Mwenzie Shaffi Dauda Huku Mwanadada Dina Akiendeleza Chuki Zake Kwa Bosi Na Hawara Yake ( Bosi KIWEMBE ) Juu Ya KUMTHAMINI Sana Mwanadada Mbau Mbau Wa KIHA Aliyeonekana KUMSHIKA Vilivyo Bosi KIWEMBE Na Sasa Kamzalia Mtoto Wa Pili Hadi Bosi KIWEMBE Sasa Anakaribia Kumuachia MAJUKUMU Mengine Mrembo Mtangazaji " Mbau Mbau ". Hii VITA SI YA KITOTO Na Ni Bonge La FILAMU!
Gita la solo Mkuu umeniacha hebu nielewesh kdogo mkuuIli Uone Kwamba BIFU Hili Sasa Linaelekea Pabaya Hawa WATANGAZAJI Wote Wakiwa Off Air Hupigana Madongo Ya UKWELI UKWELI Kwa Mfano Upande Mmoja Unaushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni " MWIBA MCHICHA " Huku Upande Wa Pili Nao Ukiushutumu Mwingine Kuwa Kuna Mtangazaji Mmoja Ni Mpigaji Maarufu Wa Gitaa La Solo La " Dally Kimoko ".
Mkuu mm bado cjaelewaBAAAAAAAAAS!!! UMEMALIZAA! UMESOMEKA!.@GENTAMYCINE! VITENGE KUTOKA CONGO NIMEKUELEWA SAANA!
Mkuu mm bado cjaelewa