bint white
Senior Member
- Oct 4, 2015
- 168
- 323
E fm ndio mbabe wao hapa tz.. Clouds hawana mvuto tena
E fm ndio mbabe wao hapa tz.. Clouds hawana mvuto tena
Ila Ibrahim Masoud " Maestro " Bingwa Wa MAJUNGU, FITINA Na Mambo Ya HOLA HOLA Kwa Watangazaji Wenzie Unamuheshimu?
We mtoa post unaonekana shabiki wa clouds fm.. make maelezo yako bado yameegamia upande m1.. na mbona hujafafanua vizuri clouds walichomfanyia dina marious na yote aliyowafanyia..
Kiufupi clouds fm wamepata mbabe wao.. wanatapatapa.. E-FM ndo habari ya mjini kwa sasa.. muziki unaongea...
Dauda ndio Figisufigisu zimejaa mule, Ana zile tabia za kipopoma za kihaya
Hayo mawazo yako... ila ukitaka kujua mawazo ya wengi pita mitaani majibu utayapata mwenyewe.. vipindi safi watangazaji safi.. mashabiki kila kona.. e fm ndo habari ya town.. clouds peleka mtwaraHivi Mziki Huwa Unaongea au Mziki Huwa Unapigwa Na Kuchezeka? Clouds FM Itabaki Tu Kuwa " Number One " Radio Station In Tanzania Na Hao Wa K Net WATASUBIRI Sana. Kuifananisha Clouds FM Na E FM Ni Sawa Na Kumfananisha " Nyerere " Na " Nkuruzinza " Nikimaanisha Kwamba Nyerere Anaiwakilisha Clouds FM Na Nkuruzinza Anaiwakilisha E FM Je Wanafanana?
sasa wewe mtu matumizi ya gari si maamuzi ya mtu lini anununue watu mjini wanayao wewe unaetaka gari nunua au kakopeUngekuwa Ni Ushindani Mbwiga Angekuwa Anamcheka Ibrahim Masoud " Maestro " Kuwa Kafanya Kazi Clouds Media Kwa Zaidi Hata Ya Miaka 12 Lakini Kaja KUNUNUA Gari Baada Ya Miaka 8 Kazini Wakati Yeye Mbwiga Mbwiguke Kafanya Kazi Sasa Ni Mwaka 1 Tu Tayari Ana GARI? Mkuu Labda Nikuambie Tu YANAYOENDELEA Baina Ya Hawa WATANGAZAJI WA MICHEZO WA HIZI REDIO MBILI Ni MAKUBWA Na Narudia Tena Kama WASIPOKALISHWA Chini Na KUONYWA au KUREKEBISHWA Naiona Hatari Na Watafika Pabaya.
kasoma pale IFM-ACCOUNTANCY/BANKING AND FINANCE mojawapo ya hizo koziKama Shafie Dauda kasoma basi hata Mbwiga naye kasoma,nina mashaka na usomi wa Dauda au kwa kuwa anaongea kithungucha kuunga unga utadhani nazi koroma.
Na hii ndio sababu kuu ya huu uzi,hakuna kingine.Usipoipenda Clouds FM au Clouds Tv Lazima Tu Utakuwa Na " Utitiri " Wa FUNZA Kichwani. Mtoto Wa Mjini Yoyote Lazima Awe Mshabiki Wa Clouds FM Na TV Ila Kwa MLUGALUGA Lazima Atakuwa Mwana " K Net " Building. Kituo Gani Cha Redio Ikija Mvua Watangazaji Wanaloana Na Inabidi Watangaze Huku Wanajikinga Na Miamvuli? Mimi Na Clouds Media Group Ni Sawa Sawa Na Bikira Maria Na Yesu Kristo Na Hao " MALOFA " Wenu Siwafagilii Kwakuwa 98% Yao Ni Wana Yanga Watupu Na Hakuna Timu NISIYOIPENDA DUNIANI Kama Yanga Football Club.
Unajifanya km vile unataka mtu asuluhishe wkt huo huo unawapiga vijembe wa E-FM km huna la maana tuondolee upuuuzi wako hapa vijembe pelekeni kwny viwanda vya khangaVizuri Sana Kumbe Hata Wewe UMELIONA Hili. Upo Sahihi 100%! Hili BIFU Lisipotafutiwa Dawa Mapema TUTEGEMEENI Siku Moja Kuyasikia Yale MATUSI Yetu Ya Kibaiolojia HEWANI. Ila Mpenda CHOKOCHOKO MKUU NI Ibrahim Masoud " Maestro " Ambaye Tokea Akiwa Hapo Clouds Media Group Na Kule Klabuni Simba Sports Club Alikuwa Ni MTU WA KUJIKWEZA, DHARAU Na Ana Tabia Moja Mbaya Sana Ya Kupenda KUABUDIWA Kama Siyo KUNYENYEKEWA Lakini Pia Ni Mtu Mzuri Sana Na Wa KUTUKUKA Wa Kamati Zetu Zile Za UFUNDI Tunazoziona Katika Vilabu Vyetu Hivi Vikubwa Viwili ( Kupiga KIPAPAI Wenzake au HOLA HOLA ) Ili Aonekane Yeye Tu Na Aliposhtukiwa Na Wenzake Wa CLOUDS FM Kwa Hiyo Tabia WAKAANZA KUMTENGA Ila Kiboko Yake Ni Kwa Maulid Kitenge Ambaye Jamaa Kila Akimpiga KIPAPAI Kitenge Anakuta Mwenzake KESHAOGA MAJI YA BAHARI Muda Mrefu Sana. Hii FILAMU Naiona Kabisa Inapoenda Na Itakapoishia! TCRA Ingilieni Kati Kwani Hata Kipindi Cha Clouds FM Cha Saa 4 Hadi Saa 7 Kinachorushwa Sasa Na Maadui Zake Dina Marios Na Cha E FM Cha Saa 6 Hadi Saa 9 Mkivisikiliza Ni FULL MIPASHO, VIJEMBE Na MAJUNGU Tena Ya Wazi Wazi. Ni Hatari!
Kwahiyo sisi wanaJF tuliotukuka tufanyeje?Wapo watangazaji waliohama toka Clouds na kwenda EFM, baada ya hapo kumefuatia vijembe vya hadharani, yaani wakati vipindi vikiendelea, wanarushiana madongo hewani.
Kwahiyo sisi wanaJF tuliotukuka tufanyeje?Wapo watangazaji waliohama toka Clouds na kwenda EFM, baada ya hapo kumefuatia vijembe vya hadharani, yaani wakati vipindi vikiendelea, wanarushiana madongo hewani.
Unajifanya km vile unataka mtu asuluhishe wkt huo huo unawapiga vijembe wa E-FM km huna la maana tuondolee upuuuzi wako hapa vijembe pelekeni kwny viwanda vya khanga
Utatudhihirishiaje ili tukuamini kua limeanzia kwa Mbwiga, alisikika kwa mara ya kwanza tarehe ngapi na Efm walisikika kwa mara ya kwanza tarehe ngapi ili tukuamini kua limetoka kwa Mbwiga? kuna mambo mengine hata hayahitaji ubishi maana kujua chanzo cha neon Fulani ni ngumu kujua. kuna maneno mengi yakeshamiri mjini ya Kiswahili kisicho fasaha na haijulikani yalikoanzia ila watu wame adopt.Ila Kinachonisikitisha Ni Huu Uwongo Wa Maulid Kitenge Kuwa Hilo Neno La " KAMPA KAMPA TENA " Wao E FM Ndiyo Wamelianzisha ILA Kwa Kuwa Mimi SIPENDI UNAFIKI Na UWONGO Niseme Tu UKWELI Kuwa Aliyekuwa Wa Kwanza Kulianzisha Hilo Neno Hadi Sasa LIMESHIKA Kasi Mpaka Linatumika Sasa Na Watangazaji Wa Michezo Wa Vyombo Vingine Ni Mtangazaji MTUMBUIZAJI Mbwiga Mbwiguke Na Ningemwona Maulid Kitenge Na Wenzake Wa E FM Badala Ya Kufanya MZAHA Nalo Basi Wangekiri tu Japo Kimoyomoyo Kuwa Wamelichukua Kama Siyo Kuliiga Kutoka Kwa Mbwiga Mbwiguke. Kitaaluma Kufanya " Acknowledgement " Siyo KOSA Wala Hakuna AIBU Ila Kujifanya Kuwa Wewe Ndiyo Mwenye Hilo Jambo au Neno Wakati Siyo Kweli Ndiko KUJISHUSHIA HESHIMA Na KUDHARAULIKA Na Wanaojua.