Clouds FM mnatupeleka wapi Watanzania kuhoji mashoga?

duh, walianza vizurii! Sasa huko wanakoenda sina uhakika sana
 
Watangazaji wote wa clouds n mashoga,kwani hamlijui hili?
 
Heshima kwenu wakuu.
_Ni mara ya pili leo huyu dr Issack maro anawapa mashoga airtime clouds fm kwenye kipindi cha njia panda.
_kweli mi ni mpenzi sana wa hicho kipindi lakini kitendo cha kuwapa airtime mashoga kwa kweli kimenichukiza sana hadi nimezima radio.
_Huku si ndio kuhamasisha ushoga!
_Ningekuwa na uwezo ningewazimia hiyo mitambo yao!!

hivi dawa ya tatizo ni kulizungumzia jinsi gani mtalitatua au kunyamaza na ku-PRETEND KUWA HAKUNA HILO TATIZO???
nimesikiliza hiki kipindi tangu mwanzo,kuna tatizo kubwa la ushoga,hapa wameita madaktari na wanasaikolojia ambao wanapambana na hili tatizo huko mitaani.

kujidai mnakerwa na hii hali sio njia ya kumaliza hili tatizo,watoto wameharibika sana ni muda wa kukaa na kuangalia tunawasaidia vipi,kwa kweli nilikuwa najua mashoga wapo lakini baada ya kusikiliza hiki kipindi ndio nimegundua tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria
 
ila wale wanacheka cheka kwenye redio yawezekana ni kundi moja
 
Tanzania kuna mapunga kibao.Ngoja wenje apeleke mswada mjengoni

Bila sheria hatuwezi kuushinda huu upunga.
 
hivi dawa ya tatizo ni kulizungumzia jinsi gani mtalitatua au kunyamaza na ku-PRETEND KUWA HAKUNA HILO TATIZO???
nimesikiliza hiki kipindi tangu mwanzo,kuna tatizo kubwa la ushoga,hapa wameita madaktari na wanasaikolojia ambao wanapambana na hili tatizo huko mitaani.

kujidai mnakerwa na hii hali sio njia ya kumaliza hili tatizo,watoto wameharibika sana ni muda wa kukaa na kuangalia tunawasaidia vipi,kwa kweli nilikuwa najua mashoga wapo lakini baada ya kusikiliza hiki kipindi ndio nimegundua tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria

Kuliongelea kwa njia ya kulitangaza sidhani kama ni njia sahihi maana na wale ambao wapo majumbani wataamini kuwa hicho wanachokifanya ni sahihi liongelewe na kulitafutia ufumbuzi lakini siyo kwa matangazo Redioni hii siyo sahihi kabisa
 
Maajabu. Sijasikiliza njia panda siku nyingi. Kama imefikia mpaka kuwapa muda wa kujinadi, hii inatisha sana. Wanataka kuharakisha hii sheria ipitishwe kama Uganda.
 
Heshima kwenu wakuu.
_Ni mara ya pili leo huyu dr Issack maro anawapa mashoga airtime clouds fm kwenye kipindi cha njia panda.
_kweli mi ni mpenzi sana wa hicho kipindi lakini kitendo cha kuwapa airtime mashoga kwa kweli kimenichukiza sana hadi nimezima radio.
_Huku si ndio kuhamasisha ushoga!
_Ningekuwa na uwezo ningewazimia hiyo mitambo yao!!

Unatafuta Kick wewe, kwa uzoefu wangu wengi wanao pinga ndio wafagiliaji zaidi wa mambo hayo kisiri .
 
Kuliongelea kwa njia ya kulitangaza sidhani kama ni njia sahihi maana na wale ambao wapo majumbani wataamini kuwa hicho wanachokifanya ni sahihi liongelewe na kulitafutia ufumbuzi lakini siyo kwa matangazo Redioni hii siyo sahihi kabisa

inategemea na wewe unavyotafsiri. awareness lazim iwepo ili watu wajue tatizo lipo kwa kiasi gani.nimesikiliza hicho kipindi na sio kama watu wanavyo portray hapa kuwa clouds fm wanapromote.

waliokuwa wanajadili hili tatizo ni wataalam wa mambo ya saikolojia na afya kwa jumla na wanajua wafanyacho,they are not just radio presenter kama wengi wanavyofikiria
 
Back
Top Bottom