Clouds FM mnatupeleka wapi Watanzania kuhoji mashoga?

Clouds FM mnatupeleka wapi Watanzania kuhoji mashoga?

Maajabu. Sijasikiliza njia panda siku nyingi. Kama imefikia mpaka kuwapa muda wa kujinadi, hii inatisha sana. Wanataka kuharakisha hii sheria ipitishwe kama Uganda.

hujasikiliza ila ume-jump kwenye band wagon eti wanawapa muda kujinadi.....hivi mnapata faida gani kupotosha vitu????
CHUKI YENU NA CLOUDS ITAWAUA.
 
Clouds ni mashogaaaaaa woteeee...nawanapromote ushogaa.
 
hivi dawa ya tatizo ni kulizungumzia jinsi gani mtalitatua au kunyamaza na ku-PRETEND KUWA HAKUNA HILO TATIZO???
nimesikiliza hiki kipindi tangu mwanzo,kuna tatizo kubwa la ushoga,hapa wameita madaktari na wanasaikolojia ambao wanapambana na hili tatizo huko mitaani.
kujidai mnakerwa na hii hali sio njia ya kumaliza hili tatizo.

Tatizo ni kwanin hawakufanya vipindi hivyo kabla?,mpaka USA waingilie ndio tatizo liwe kubwa?.KWA KUWA MNYEO NI WAKO HILO SI JANGA LA KITAIFA. ENDELEA
 
aise mi wamenikera hafu mtangazaji hapunguzi ukal wa maneno had nikabadilisha
 
Kitendo cha kurusha matangazo public kinasababisha watoto wanaosikia uchafu huo waone kama ni kitu cha kawaida. Wanangu sitawaruhusu kufungulia hiyo station hata siku moja. Mola niepushie mbali na huu uchafu

Kama unaamini wanao hawasikii uchafu wa aina hiyo huko mitaani or shuleni mpaka wasikilize Clouds then unaishi dunia yakufikirika tu.

Kila siku drug addicts wanahojiwa kwenye vyombo mbalimbali kwa hiyo wanao wameshaona dawa za kulevya ni za kawaida tu au umewazuia kufuatilia vyombo vyote vya habari?

Haiwezekani uchafu uendelee kufichwa eti sababu ukizungumzwa watoto wataona swala la kawaida.

Wimbo "Mambo kwa soksi" wa Remmy Ongala ulifungiwa eti hauna maadili kisa anahamasisha matumizi ya kondomu lakini leo hii Wizara ya Afya inaingia gharama kutangaza kondomu na ladypepeta.
 
Siku nyingine tena usiku nishawahi kuwasikia kwa masikio yangu mawili
wanasema "sisi ni mashoga" wanacheka wanarudia tena sisi ni mashoga ndio mashoga sisi ni marafiki
mashoga maana yake ni marafiki
niihisi naota haki ya mama

Alikuwa Arnold Kayanda na "Mully B" siku ya Ijumaa kipindi sikikumbuki jina lakini muda ni huu huu unatumiwa na 'So so Fresh' ya leo.

Nadhani ulikuwa utani tu Arnold hana pozi za kichoko.
 
Back
Top Bottom