Clouds FM mnatupeleka wapi Watanzania kuhoji mashoga?

Clouds FM mnatupeleka wapi Watanzania kuhoji mashoga?

Mjamaa masalia

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
373
Reaction score
354
Katika kipindi cha NJIA PANDA wanamuhoji shoga Aunt Suzy,dah haiingii akilini kabisa.

Heshima kwenu wakuu.
Ni mara ya pili leo huyu dr Issack Maro anawapa mashoga airtime clouds fm kwenye kipindi cha njia panda.

Kweli mi ni mpenzi sana wa hicho kipindi lakini kitendo cha kuwapa airtime mashoga kwa kweli kimenichukiza sana hadi nimezima radio.

Huku si ndio kuhamasisha ushoga!

Ningekuwa na uwezo ningewazimia hiyo mitambo yao!!
 
Hayo ndiyo maisha na hali yetu halisi. Shida yetu kubwa ni kuwa tunaogopa kupambana na matatizo mpaka yanapokomaa na kupasuka na kusambaa. Tunahitaji kupambana na tatizo na si kuliogopa.
 
Hayo ndiyo maisha na hali yetu halisi. Shida yetu kubwa ni kuwa tunaogopa kupambana na matatizo mpaka yanapokomaa na kupasuka na kusambaa. Tunahitaji kupambana na tatizo na si kuliogopa.

Sasa mkuu hapo una maana gani ,sijakuelewa?
 
Ivi wanapata wapi ujasiri wa kuzungumza nao?may Allah forgive me i real hate hawa mashoga toka moyoni na naomba kizazi na ndugu zangu waepushiwe na laana hii.

Kweli kabisa mkuu hii sio sawa yani yanayozungumzwa humu ni mazito sana kwa kweli
 
huu ndo mwisho wa dunia ndugu zangu...tusubirie tu gharika kutoka kwa Allah!..
 
Wangehojiana wao kwa wao kwanza

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kitendo cha kurusha matangazo public kinasababisha watoto wanaosikia uchafu huo waone kama ni kitu cha kawaida. Wanangu sitawaruhusu kufungulia hiyo station hata siku moja. Mola niepushie mbali na huu uchafu
 
Nadhan walipaswa kumhoji madhara zaid ya ushoga.
 
Kwa jinsi nilivotafiti binafsi! Kama ambavo mtu hazaliwi na genes za ujambazi au muuaji!! Ndio ambavo anakua mtu Kama shoga, Mashoga wengi wao ukikaa ukiwachunguza akili zao hazipo Sawa!!
 
Museven + Mugabe= No Ushoga. Nimemsikiliza huyu -------- sijaona mahali panapo sema watu wa lut wamezaliwa namna Hiyo. Ningekuwa na uwezo, nakamata mashoga wote na kuwapiga risasi.
 
Museven + Mugabe= No Ushoga. Nimemsikiliza huyu -------- sijaona mahali panapo sema watu wa lut wamezaliwa namna Hiyo. Ningekuwa na uwezo, nakamata mashoga wote na kuwapiga risasi.Hii radio iliwahi kupigwa faini kwa kuhamasisha ushoga lakini nashangaa wanaendelea kuutangaza huu uchafu. Serikali na tcra waiangalie radio hii kwa macho mawili.
 
Majaaaanga kilo 100 naona kama promo wanampa mana hajielewi, eti akiona mwanaume anamtamani ngoja nimpigie m7 atusaidie kumaliza hili janga
 
Mi nishawahi kusikia tena shoga akihojiwa clouds
mtangazaji akamuambia ajaribu kujikamua huyo shoga akaguna
inaonekana mashoga wanawafurahisha sana watangazaji wa clouds
 
Mi nishawahi kusikia tena shoga akihojiwa clouds
mtangazaji akamuambia ajaribu kujikamua huyo shoga akaguna
inaonekana mashoga wanawafurahisha sana watangazaji wa clouds

Duh hawa jamaa ni waajabu sana
 
Duh hawa jamaa ni waajabu sana

Siku nyingine tena usiku nishawahi kuwasikia kwa masikio yangu mawili
wanasema "sisi ni mashoga" wanacheka wanarudia tena sisi ni mashoga ndio mashoga sisi ni marafiki
mashoga maana yake ni marafiki
niihisi naota haki ya mama
 
Jamani Hivi serikali imewekwa mfukoni
 
Back
Top Bottom