sijakuelewa.unamaanisha wana hizo element?Hivi mshawahi waangalia watangazaji wengi wa hiyo radio! Sijui lakini... Kuna dalili
Majaaaanga kilo 100 naona kama promo wanampa mana hajielewi, eti akiona mwanaume anamtamani ngoja nimpigie m7 atusaidie kumaliza hili janga
Mashoga ni binadamu wenye 46 chromosomes kama wewe.Tofauti yako na yeye ni sexual orientation tu
Inakuaje unawabagua kwa namna hiyo?Tatizo halitatuliwa kwa kulikimbia na kulificha.
kama unahona wanabaguliwa wakaribishe nyumbani kwako halafu hapo ndio utajua jamii wanakutafsiri vipi...........
Heshima kwenu wakuu.
_Ni mara ya pili leo huyu dr Issack maro anawapa mashoga airtime clouds fm kwenye kipindi cha njia panda.
_kweli mi ni mpenzi sana wa hicho kipindi lakini kitendo cha kuwapa airtime mashoga kwa kweli kimenichukiza sana hadi nimezima radio.
_Huku si ndio kuhamasisha ushoga!
_Ningekuwa na uwezo ningewazimia hiyo mitambo yao!!

Nasikia wiki mbili zilizopita walimleta shoga studio, vipi na leo wako naye.
leo wako na shoga,wameniudhi sana!
Shoga yuleyule au leo mwingine?
Shoga yuleyule au leo mwingine?