Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,314
- 5,523
Naandika ujumbe huu nikiwa na akili timamu clouds fm sisi mashabiki wenu wengi ni vijana na tupo ukawa lkn kwa mnachokifanya sio kizuri mnapiga kampeni za wazi kabisa kwa ccm kwani kampeni zimeanza? tuna watahadharisha juu ya hilo sio vzr naomba muwaze kuhusu kesho kama ukawa ikashika nchi mtakuwa kwenye nafasi gani
MSIPENDELEE UPANDE MMOJA JAPO NDIO GARAMA YA KUNUNULIWA.
Nothing to listen from CLOUDS for sure! hata hiyo sauti sijawahi isikia!
Kuna wakati nilikuwa najaribu kuwaangalia but wale sio kabisa wanachefua haswa sio mpenzi wa hii station kabisaaaaaa coz nothing to loose