mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,092
Hana sera yule mzee anabaki na majungu tu!Samahani mkuu, kwani Lowassa ana sera? Maana sijasikia sera yake hata moja zaidi ya kuiponda CCM tu.
Hana sera yule mzee anabaki na majungu tu!Samahani mkuu, kwani Lowassa ana sera? Maana sijasikia sera yake hata moja zaidi ya kuiponda CCM tu.
kwani kuna kitu gani cha maana ambacho lowasa amewahi kusema tangu aanze kuzunguka? Kuna sentensi moja kakalili kila anakoenda "mapokezi haya sijawahi kuyaona popote". Kila anapoona umati wa watu popote anatumia the same statement, ama kweli maksai ni ngonjwa hadi akiliMi mwenyewe nilishashtukia, yani ni ka vile lowasa kasema neno hilo moja tu tangu aanze mchakato wa ugombea urais.
Kumbe watz tumeamka ..nilifikiria hivyo pia..hawa jamaa wanaonyesha mahaba ya dhati kwa CCM..pia hata habari za ukawa zinatangazwa sio km zinavyostahili..mfano mwanza hawakuonyesha lile nyomi..walionyesha baadhi ya wana ukawa lkn haikua rahisi kusikia wanachokisema as sauti ilikua very poor..nadhan wanatumika kuhujumu UKAWA..u don't need to hold shahada ya uzamivu to realise that...
kwani kuna kitu gani cha maana ambacho lowasa amewahi kusema tangu aanze kuzunguka? Kuna sentensi moja kakalili kila anakoenda "mapokezi haya sijawahi kuyaona popote". Kila anapoona umati wa watu popote anatumia the same statement, ama kweli maksai ni ngonjwa hadi akili
.
kumchafua au kumsafisha? Lowasa anahitaji kusafishwa au kuchafuliwa?Ruge ameshakunja 1b k9waajili ya kazi hiyo yakumchafuwa mgombea wa ukawa kwahiyo hapo wako kazini
kwani zaidi ya kuahidi kuhonga laptop kwa walimu,magufuli ana sera gani anayoisimamia,mara kumi ya Lowassa anayeinadi sera yake ya kupambana na umaskini.mind you that sera usiifananishe na ahadi.
kutamka ccm oyeee mbona rahisi sana na siyo lazima magufuli atamke. Hata wewe unaweza kutamka ccm oyeee na mambo yakaisha. Waambieni itv nao watafute clip ambayo pro lowasa mtaipenda ili iwe ikitamkwa kabla ya taarifa ya habari ya itv. Lakini kwa sababu anaweza asiongee vizuri kwa sababu ya maradhi, mnaweza kurekodi sauti hata ya mtei na mkaitetea kwamba ni sauti ya fisadi lenu.wanamhujumu Lowassa hata kwenye cloud tv,cloud radio kwa nini hawatoe haki kwa wagombea...yaani Lowassa ana salimia,makufuli yeye anatangaza sera!magufuli nae aseme ccm oyeeee hapo ndio haki....jamani makamanda hujuma uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Huyo Lowassa hana sera hata moja sasa unataka clouds wafanyaje. Yeye aendelee na kusema peoples tuone kama hao peoples watampeleka ikulu pasipo kuwa na sera nzuri
ninyi mna mwongelea bwana joseph kusaga na ruge?
Hawa ni walamba miguu wa ccm.niwa nafiki sana hawa watu. Kipindi lowassa yupo ccm hawa hawa walikua kila siku lowassa lowassa lakini leo lowassa kaamia chadema imekua nongwa kwao sasa wanajikomba kwa magufuli.
Mimi uwaga siwapendi watu wanafiki kama hawa hata watangazaji wao wamesha wa ambukiza hiki kitabia, wakina harson kamoga na samwel sasari kile kipindi chao cha 360% kimekua ni umbea umbea unafiki mtupu,
ngoja mzee wa maamuzi magumu aingie ikulu utawaona tena wanageuza mwelekeo na kutaka kumwandalia dhifa ili kujikomba komba,
Hhhhahahhahah eti peoples zungusha zungusha 😂😂😂😂😂😂😂Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"
Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"
Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.
Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape.
Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.