Anzisha uzi mwingine huu unahusu clouds.Anzeni hayo maonyo yenu ITV vinginevyo mtulie sio kupaza sauti hovyo
Anzisha uzi mwingine huu unahusu clouds.Anzeni hayo maonyo yenu ITV vinginevyo mtulie sio kupaza sauti hovyo
Halafu wacha kupotosha usijifanye hamnazo, kinacholalamikiwa hapo ni upendeleo wa wazi wazi kwa CCM ambao unafanywa na hao Chouds, haiwezekani wanaruhusu mgombea wa CCM anadi sera halafu wa UKAWA atoe tu salamu! Msitufanye sisi hatuna akili tunajua kutofautisha embe na nanasi!
Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"
Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"
Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.
Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape.
... Wadau, Kuna Tangazo Moja Linazungumzia Watu Na Timu Zao Katika Siasa, Ambapo Utakua Unapokea Updatez Juu Ya Wagombea Wako Wa Urais Kupitia Simu Yako Ya Watsup. Katika Tangazo Hilo Magufuli Anasikika Akisema Eti Kiongozi Makini Anatoka Ndani Ya Ccm, Huku Lowassa Anasema Tu Eti Peopleeez.! Hivi Hapa Kuna Nini? Kama Siyo Kumpigia Kampeni Fundi Gereji? Au Nyie Wadau Mnasemaje.?
Hivi Fiesta huwa wanaenda Arusha? Nauliza tu.