Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Hata utangazaji wao upo kimbeambea ila oktoba tutawafungia wanamdhalilisha Mr EL
 
clouds cku siyo nying watapoteza wasikilzaji polen cloud watanzania wanataka mabadiliko watambuoe hilo
 
Nimeangalia hata usomaji wao wa magazeti wanaegemea upande wa habari zinzoisifu ccm na kuponda ukawa.
Kama chombo cha habari wanatakiwa kuwa makini vinginevyo inaweza kuwagharimu.
Hiyo kazi wawachie tbc.
 
Acha Uongo Na Unafiki Clouds Wanatangaza Headng Olmxt Zote Za Lowassa Za Maguful Zote,nyie Mnasema Hawapo Fair Lakini Gazet La Leo La Tanzania daima Kuandika "Kamati Ya Watu 32 Iliyoundwa Na Ccm Ni Ya Kumtukana Lowassa" Mnaona Hyo Heading Ipo Fair Kabisa Hamtaki Hata Kuiongelea!!
 
Wakuu Radio CloudsFM ina promo ya tangazo lao la kipindi chao kipya kuhusu siasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Kwenye tangazo lao la kipindi hicho kipya wameweka sauti ya Magufuli akiongea kwa zaidi ya sekunde kumi akisema "maendeleo ya kweli yatatoka kwenye kiongozi anayetoka CCM"

Alafu naweka sauti ya Lowassa anasema "Peopleees zungusha zungusha"

Moya kwa moja promo hii ni kampeni ya kwa CCM maana mgombea wake ana nadi sera za chama au kujipigia debe, kama wako huru na siyo kampeni kwa ccm , walipaswa kuweka sauti ya Magufuli akisema "CCM oyeee" ili kuendana na anachozungumza Lowassa kwani Lowassa anatoa salamu ya chama na Magufuli ana nadi sera za chama.

Hili ndilo bao la mkono alilosema Nape.

Na nyie team lowassa acheni kudeka,vipi kuhusu ITV ya mengi mbona hamuikatazi aiche upendeleo?
 
Acha Uongo Na Unafiki Clouds Wanatangaza Headng Olmxt Zote Za Lowassa Za Maguful Zote,nyie Mnasema Hawapo Fair Lakini Gazet La Leo La Tanzania daima Kuandika "Kamati Ya Watu 32 Iliyoundwa Na Ccm Ni Ya Kumtukana Lowassa" Mnaona Hyo Heading Ipo Fair Kabisa Hamtaki Hata Kuiongelea!!

Mkuu hawa clouds ni tofauti na tanzania daima pia tofauti na uhuru haya magazeti yanajulikana.uhuru la chama kama tanzania daima linjulikana kwamba huwezi kuta limeandika habari ya kuiponda cdm.

Naamini kwamba clouds huwa wanasoma magatezi na kufanya uchambuz,
utawajua rangi zao halisi wanapofanya uchambuzi

Mimi nawaonya kama wanapita humu wajitahidi kubalance habari zao. Vinginevyo watakuwa kama tbc.
 
Aisee km siamin vile kuwa mtu mmoja mwenye DOA lakimataifa la ufisadi anaweza kupoteza nguvu za vijana za kufikiri! Acheni ushabiki usiyo na maana! Tengeneza tangazo lako peleka tutalisikia pia...kila kitu mnaonewa jiandaeni vuzur kupokea taarifa za matokeo Oct.
 
CHADEMA walifatilie ili suala haraka nimelisikia hilo tangazo lipo kimkakati kabisaaaaa...japo mwaka huu wananchi tumeamua si chombo cha habari wala chombo kingine kitakachoingilia maamuzi ya wananchi.

Acheni woga mbona ITV ndio kazi yao,tulieni sasa mnanyolewa mkitikisika mkasi utawafinya au kuondoka na ngozi kabisa
 
Mkuu hawa clouds ni tofauti na tanzania daima pia tofauti na uhuru haya magazeti yanajulikana.uhuru la chama kama tanzania daima linjulikana kwamba huwezi kuta limeandika habari ya kuiponda cdm.

Naamini kwamba clouds huwa wanasoma magatezi na kufanya uchambuz,
utawajua rangi zao halisi wanapofanya uchambuzi

Mimi nawaonya kama wanapita humu wajitahidi kubalance habari zao. Vinginevyo watakuwa kama tbc.

Anzeni hayo maonyo yenu ITV vinginevyo mtulie sio kupaza sauti hovyo
 
Mimi si sikilizi clouds wiki tatu sasa na wewe je

Mimi nasikiliza clouds FM natizama clouds tv wakati wote na sina mpango wa kuacha na hata hio ITV mlioinunua pia natizama hivyo huna impact yoyote acha kutishia nyau
 
Kwani lowasa anaweza kukaza mdomo wakati wa kuongea? Tena pale clous wameedit kwa kumwongezea speed.
 
Tusha wafaamu. Kwani nani hawajui ni wazee wa Propaganda. Lazima wajipendekeze watoto wao wapate chakula kwa urais zaid
 
Hakuna media iliyohuru Na tutegemee zaidi ya hapo wakati wa kampeni.Kuna vyama havitapewa muda kwenye media na hasa TBC1.

Mwenye Clouds ni mwanacha.a wa CCM sitgemei afanye tofauti na hicho alichokifanya.
Sio tu bongo., hadi ng'ambo hakuna uhuru wa habari.,,.,,
Kuna uhuru wa mwenye chombo..,... Mitambo na mwenye mali..,..,
Kujifanyi hamsikii,... Haiwasaidii wala haiwajengi.,...
Nachosema ni .,,.. Kamwe IPP haitompinga Mengi..
$&& Kamsikilize FID Q kwenye wimbo wa #BongoHipHop
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom