Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

Naandika ujumbe huu nikiwa na akili timamu clouds fm sisi mashabiki wenu wengi ni vijana na tupo ukawa lkn kwa mnachokifanya sio kizuri mnapiga kampeni za wazi kabisa kwa ccm kwani kampeni zimeanza? tuna watahadharisha juu ya hilo sio vzr naomba muwaze kuhusu kesho kama ukawa ikashika nchi mtakuwa kwenye nafasi gani
MSIPENDELEE UPANDE MMOJA JAPO NDIO GARAMA YA KUNUNULIWA.

Nothing to listen from CLOUDS for sure! hata hiyo sauti sijawahi isikia!
Kuna wakati nilikuwa najaribu kuwaangalia but wale sio kabisa wanachefua haswa sio mpenzi wa hii station kabisaaaaaa coz nothing to loose
 
Acha upimbavu usiwe small minded kufikiri hivyo kwa kila kitu kinachofanyika...mbona CCM hawasemi kuhusu ITV acheni upumbavu wa kijinga...kama vipi pelekeni Mtanzania na Tanzania Daima...mnakera sana lowassa kawafanya muwe watumwa kimawazo hamuwezi kufikiria kwa kutumia akili zenu...mpo kama nyumbu yaani...MNABOA

Wewe ndio mtumwa wa CCM jiwanaume zimaaa halina TOHARA nenda katoe mkono wa sweta huko ndio urudi hapa ukiwa dume kamila alaaa
 
Clouds nacho ni chombo cha habari au wachumia tumbo unaweka tangazo ambalo mtu muhusika hajaridhia ukishitaki its below the journalism status
 
Kuna wale wachambuzi wa magazeti asubuhi, hata sijui majina yao ila lile jamaa jeusi lenye kichwa kikubwa ni shida kweli kweli, mbulula.

YAAN NIMECHEKEA KWA SAUTI sijui nalo lile jamaa halijijui kabisa bichwaa kubwaa kama kabeba vichwa vya nyumbani kwao! Wamejaribu kumweka na mwezake angalao aonekana lakini lile hapana kabisa silipendi kabisa! kuonge kwenyewe kama kaeka maji mdomoni pyuuuu
 
hapo walitakiwa waweke sauti ya EL ikisema nachukia sana umasikini

hawawezi hao, nimsikia Ruge anajitetea hawezi mlazimisha mtu kuchagua upande wowote wa chama au mtu eti ni uamuzi wa mtu binafsi, kama anaelewa hivyo why anatumia anatumia chombo chake cha habari kuegemea upande mmoja?
 
Hahaa...yaan clous...mm siwasikilizi ...na wakiendelea watakuwa kama TBC......
 
mbaya zaid huyo lowassa mwenyewe hawezi kutamka pipoz,,, natamaka kama katungikiwa dripu na mipira ya oskijeni iko puani,,,,, aiseee mmekosa mgombea?
 
hawawezi hao, nimsikia Ruge anajitetea hawezi mlazimisha mtu kuchagua upande wowote wa chama au mtu eti ni uamuzi wa mtu binafsi, kama anaelewa hivyo why anatumia anatumia chombo chake cha habari kuegemea upande mmoja?

kaegemea upande gan?kuna habar yoyote ya lowassa ambayo ilitakiwa isemwe hawajasema?ukawa kwanin mnakua kila kitu kibaya kwenu?
 
hawawezi hao, nimsikia Ruge anajitetea hawezi mlazimisha mtu kuchagua upande wowote wa chama au mtu eti ni uamuzi wa mtu binafsi, kama anaelewa hivyo why anatumia anatumia chombo chake cha habari kuegemea upande mmoja?

Hao wajamaa ni wazushi sana, leo Asubuhi kwenye kutaja majimbo ya CHADEMA, PJ alisema eti ni mengi sana hawawezi kuyataja, Gerald akamsisitiza ayataje hata 50 tu. Naona Baadae walivyokuwa Offline nadhani walidiscuss wakarudi akasema atayataja yote.

Kwa SISIEM ile juzi alisema watataja kwa Mikoa na kweli waliyataja.
 
acha uzush walisema majimbo mengine wataendelea kesho au muda ukiruhusu acha kuzusha mambo
 
acha uzush walisema majimbo mengine wataendelea kesho au muda ukiruhusu acha kuzusha mambo

KIPINDI ni kile kile Power BreakFast... kwa SISIEM walitaja yote, sasa kwann wakati ya CHADEMA walibishana kwani PJ alikuwa hataki kutaja kabsa.... Gerald akamwambia taja 60 na Barba akamwambia taja 50..

Kama ulisikiliza kweli utaona kulikuwa na ukakasi.
 
Kansigo ni heri tunazickia hzo habar zao mbaya huku ITV maana huko TBC huwez kuckia any negative news about chichiem
 
Last edited by a moderator:
KIPINDI ni kile kile Power BreakFast... kwa SISIEM walitaja yote, sasa kwann wakati ya CHADEMA walibishana kwani PJ alikuwa hataki kutaja kabsa.... Gerald akamwambia taja 60 na Barba akamwambia taja 50..

Kama ulisikiliza kweli utaona kulikuwa na ukakasi.

ndio walikua wanabishana kwasababu mda ulikua hauruhusu kulikua na matangazo na ilikua inakaribia mda wa hili game....sio kama hawakutaka kutaja ndomana wakasema wanamalizia kesho mbna walivokuwa wanaiponda tbc huliongelei au mnajifanya hamkusikia mlisikia magazet tu!
 
Ukawa Mbna Mnakua Kama Mna Wivu Afu Usiohata Na Mantiki,hv Saut Ya Lowassa Isingesikika Kabisa Mngesemaje?Mbna Mnakua Na Hofu Za Kipuuzi?Gazet La Uhuru Limemwandika Lowassa Wk 2 Mfululizo Mkaanza Kejel Ooh Wamnadi Mtu Wao Magufuli,sasa Hv Tangazo Lipo Fair Saut Zote Znaskika Bado Mnalalamika Halipo Fair What Is Wrong Wth You?Ndo Mmepanic Au?

Halafu wacha kupotosha usijifanye hamnazo, kinacholalamikiwa hapo ni upendeleo wa wazi wazi kwa CCM ambao unafanywa na hao Chouds, haiwezekani wanaruhusu mgombea wa CCM anadi sera halafu wa UKAWA atoe tu salamu! Msitufanye sisi hatuna akili tunajua kutofautisha embe na nanasi!
 
kwa miaka 51 sasa ya utawala wa CCM hawahitaji kuleta sera tena, wananchi wameshazisikia na kuzisoma sera zao ccm na hawakuona nafuu kwenye maisha yao. Sasa hivi sera yao yenye afadhali ni barabara, lakini hawatuambii ni akina nani na kwasababu gani watu wanaiba mifuniko ya chemba za majitaka barabarani, kuiba alama za barabarani na kukata madaraja kwenye barabara hizo. Bila shaka hawa watakuwa ni wananchi waliopigika kwa umasikini uliosababishwa na sera za CCM kwa miaka 50. Watu hawataki kusikia habari za sera tena bali wanataka maji, ajira, elimu, matibabu, mikopo kwa 100% kwa wanafunzi wote, na hawataki rushwa na kupanda kwa gharama za maisha. Na mwisho watu wanataka katiba yao waliyoipendekeza sio ile ya Sitta na CCM

Mimi siwalaumu Clouds FM. Nafikiri wanatumia maneno ya Lowasa sawasawa kwa vile hana na au hajui SERA ya vyama anavyogombea.Labda mngependekeza sera ya UKAWA. Niwasaidie "UFISADI;RICHMOND,WIZI,TAMAA NA UCHU WA MADARAKA MPAKA IKULU '
 
Back
Top Bottom